Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

Kanunue sufuria kisha kisado na chumvi na karanga zikaange kwa uodali anza na kilo 5 baada ya miezi 6 tukutane hapa utojuta itakuwa sababu ya kuendea biashara kubwa baada ya miaka 3 yasipo tokea yakutokea utafungua biashara ya sh 3000,000,shariti ufunge zipu usinywe pombe wala sigara akikisha unapo pika jioni unakula unabskiza kipolo cha kesho unakunywa na chai unaingia mitaani shariti uchonge Kibubu kila siku dumbukiza sh 3000 kwa uchache
 
ujamkumbusha kibubu awe nacho makini wasije kupta nacho
 
nipo chuo mwaka wa pili nina maji wa elfu 50 nataka niagize mzigo wa kuanzia wa nguo za kike kama boyfriend Jean's au night dress naombeni ushauri kwenu wana JF
 
nipo chuo mwaka wa pili nina maji wa elfu 50 nataka niagize mzigo wa kuanzia wa nguo za kike kama boyfriend Jean's au night dress naombeni ushauri kwenu wana JF
Kama upo dar nenda mwenyewe ilala alfajiri kachague hizo nguo...
 
Uza maji ya kunywa. Anza na yale madogo ya nusu lita utakuja kunishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…