Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

Nawasalim kwa jina la muungano!! ,

Wakuu nina mtaji wa 20m nataka nianze biashara ya ng’ombe kutoka mikoani nakuleta pugu dsm,naomba kujua ABC za hii biashara na kama inalipa au lah
Msaada nenda Pugu utapata ABC kwa hao wauzaji. Sidhani kama wamo humu.

Siyo kejeli ila ni ukweli.

Ni biashara inalipa kama utavumilia nakushauri kachukue msukuma mmoja anayenunua mikoani uungane naye. Ni waaminifu .
 
Shukrani sana mkuu
 
Labda awe ananunua wamaziwa hapa mjini waliochoka au mufugaji anauza hila kutoa mkoa ng'ombe kumleta mjini sio kazi ndogo
 
Sidhani kama ni sahihi Mkuu, ukienda minadani Ng'ombe mmoja huuzwa kati ya shilingi 300,000-800,000 ambapo kwa hela hiyo hakosi ng'ombe 30 na usafiri hadi Dsm.

Ambapo hakosi faida ya shilingi 2,500,000 ambayo sio hela ndogo usawa huu
Ng'ombe wa kupeleka pugu hawezi kununuliwa laki tatu, hata laki nane ni kubahatisha sana.

Cha kwanza ajitahidi kutembelea soko la Pugu kwa minada mfululizo hata kumi. Kisha akatembelee minada ya mikoani atakapokuwa anawatoa hao ng'ombe
 
Back
Top Bottom