Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

Well,

Ulianza na mtaji kiasi gani kwenye viazi na kwa muda gani umetengenwza hiyo 15m?
Niseme nimeingia kutafut pesa mtaan mwak 2020 vyanzo vyang by mapay vimkuw mashn y kusag,kupig mahnd na kilimo ambch nimlim miak miwill.All in all itategmea bei ya viaz
Nb ekar 3 zinatosh kukupa 15m na ekar moj hugarim 1 mpak 1.5 milion kulim inategemea Bei ya pembjeo
 
Watanzania kwa ujuaji hivi umewahi kufuga ukaona mtiti wake? Kama kitu haujui kaa kimya
 
Vizuri.

Kwa maana hiyo
Uliingiza mtaji wa 1-1.5m shambani
Source ya mtaji ni mashine ya kusaga na kupiga mahindi.

Mtaji 1.5m
Kilimo miaka miwili 2
Shamba acres 3
Ambazo zilitoa 15m
Faida=15-1.5, roughly 13M. Zero taxed.

Hapo ni sawa na pato la 540,000 TZS cash kwa kila mwezi.

Don’t you see kwa wewe ni tajiri na hiyo biashara ni nzuri?

Kwa harakaharaka variable ambayo unaweza ku control ili pato la mwezi liongezeke ni kuongeza ekari.

But i agree kilimo ni kigumu, inahitajika kupambana kwelikweli na kujinyima vitu vingi. So much hustle there.

You can do this.

Usikache hicho kilimo.

Itafute 1,000,000 TZS kwa mwezi

Hiyo itahitaji ekari 6 kwa mahesabu
Tafuta msaidizi hapa.

Tuki assume kilakitu kitakua sawa na nyuma then utegemee close tu 1,00,000 with some error. Biashara ni nonlinear sio linear.

But kwa kua ni nonlinear basi kuna vitu vya kuvitrack

Closely fuatilia soko lake lililopita na panua soko.

Kilimo cha viazi obviously kina variables zinazoweza kua anticipated au predicted. Vitu kama logistic cost/gharama za usafiri, soko (ndani na mikoa ya karibu), aina ya viazi na bei.

You can’t cantrol rain and hali ya hewa. Labda kama ni irrigation.
——————

Duka la umeme linahitaji uwe fundi au umuweke fundi. Wateja wanapokuja wanataka msaada wa kiufundi pia.

Electronics accessories haijitaji ufundi just ma flash, earphones, batteries, chargers, phone covers, memory cards, etc.

You need location survey on this.

Business is strategies.
 
Watanzania kwa ujuaji hivi umewahi kufuga ukaona mtiti wake? Kama kitu haujui kaa kimya
Mjuaji ni wewe usiejua mtu humu halafu unapiga ramli, usingewaza na kukosoa kama hujui mtu ni dalili za ujima

Nimezaliwa kwenye mifugo na kukulia kwenye mifugo
Mpaka leo tuna mashamba na mifugo

Unajidhalilisha humu kwa mawazo mgando eti mtiti wake

Kwani wanaofuga na kuwa na eka 200 wanaishi namna gani
Au unawaza kufukuzana kwenye mashamba ya mahindi ya watu

Hayo tumepita zamani sana, una mda bado wa kujifunza mengi dogo
 
Inategemea kapataje, zinaweza kuwa za uridhi au hata Kachukuwa mkopo kazini kwake, we Mpe ushauri ndichoalichoomba
(2020 mwezi wa nne niliach chuo udom) Sikurith pesa Bali nilirithi vitendea kaz, mimi nilikabidhiw vitendea Kaz mashine na mashamb na mtaji wa elfu 40,000 kwaajil ya kununua mafuta ya kuanzia.
Ninach mshkur mungu alinip kipaji cha ufund
 
Sasa sikia meku
mimi Sina hata myaji yani hapa napiga miayo haaaaaaaaahm
Kwa jinsi ninavojua, kama unaweza kunisacrifice kilimo ch viaz kupat m10 ni mchxo mdogo ila inahitajik commitment ya halo ya juu na muongzo kutok Kwa MTU Amby angalau anauwez wa kuzalish peto 60+ Kwa eka. Ofcourse mtaji wa kulim viaz n mkubwa kidogo so unaweza kuanz na mahindi ( laki Tano Kwa eka) then hizo pesa utakazpta ukiuza mahindi ndo ulimie kiaz. Usihof kama huna aridhi zipo zinazokodishwa
 
15M sio haba kijana, nipo Njombe mjini maeneo ya Chaugingi, njoo uchukue pikipiki mpya kwa 2M na 50k cash.

Pikipiki itakusaidia kwenye kufuatilia miradi yako.
 
Usiende kulima hata dakika moja
Rafiki yangu alipoteza hela shambani
Huko mpanda 160M
Huwez kunishauri kuhusu kilim

15M sio haba kijana, nipo Njombe mjini maeneo ya Chaugingi, njoo uchukue pikipiki mpya kwa 2M na 50k cash.

Pikipiki itakusaidia kwenye kufuatilia miradi yako.
Asante mkuu mzee alituachia chum hiki kinantosh
 

Attachments

  • IMG_20230529_111346_027.jpg
    660.7 KB · Views: 27
Mapembelo .....
 
Maeneo ulipo hakuna miti? Kama ipo nunua then toa hyo injini peleka porini nunua benchi na msumeno anza kuchana mbao,utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…