Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niseme nimeingia kutafut pesa mtaan mwak 2020 vyanzo vyang by mapay vimkuw mashn y kusag,kupig mahnd na kilimo ambch nimlim miak miwill.All in all itategmea bei ya viazWell,
Ulianza na mtaji kiasi gani kwenye viazi na kwa muda gani umetengenwza hiyo 15m?
Watanzania kwa ujuaji hivi umewahi kufuga ukaona mtiti wake? Kama kitu haujui kaa kimyaPambana kwenye kilimo na jinsi unavyoenda utapata uzoefu zaidi na kuelewa mambo mengi zaidi
Sio kilimo tu pia huko huko kwenye kilimo utaongeza na ufugaji wa mbuzi na kuku
Usiache kilimo maana hata ushuru ni mdogo na mwingine huhitaji kugombana na TRA kila kukicha
Ukitaka kuota mvi na stress fungulia duka hao jamaa
Kwa ushauri wa mwisho fuga na huku unaendelea na kilimo pamoja na machine yako ya Unga na pumba kwa ajili ya kuku na mbuzi
Ongeza shamba lako kubwa na uwaweke humo
Vizuri.Niseme nimeingia kutafut pesa mtaan mwak 2020 vyanzo vyang by mapay vimkuw mashn y kusag,kupig mahnd na kilimo ambch nimlim miak miwill.All in all itategmea bei ya viaz
Nb ekar 3 zinatosh kukupa 15m na ekar moj hugarim 1 mpak 1.5 milion kulim inategemea Bei ya pembjeo
Mjuaji ni wewe usiejua mtu humu halafu unapiga ramli, usingewaza na kukosoa kama hujui mtu ni dalili za ujimaWatanzania kwa ujuaji hivi umewahi kufuga ukaona mtiti wake? Kama kitu haujui kaa kimya
Una akili za kimasikini sana weweWatanzania kwa ujuaji hivi umewahi kufuga ukaona mtiti wake? Kama kitu haujui kaa kimya
Ungezipata kwa kupambana usingekosa kujua namna nzuri ya kuziongeza.
Kama za urithi sema kijana tukushauri zisije kuishia kinenani
Majibu yote njoo mtwara mjini uulizie jina langu halafu upimeUna akili za kimasikini sana wewe
Unamiliki nini wewe
Nkazan una mtaji kumbe myaji
(2020 mwezi wa nne niliach chuo udom) Sikurith pesa Bali nilirithi vitendea kaz, mimi nilikabidhiw vitendea Kaz mashine na mashamb na mtaji wa elfu 40,000 kwaajil ya kununua mafuta ya kuanzia.Inategemea kapataje, zinaweza kuwa za uridhi au hata Kachukuwa mkopo kazini kwake, we Mpe ushauri ndichoalichoomba
Kwa jinsi ninavojua, kama unaweza kunisacrifice kilimo ch viaz kupat m10 ni mchxo mdogo ila inahitajik commitment ya halo ya juu na muongzo kutok Kwa MTU Amby angalau anauwez wa kuzalish peto 60+ Kwa eka. Ofcourse mtaji wa kulim viaz n mkubwa kidogo so unaweza kuanz na mahindi ( laki Tano Kwa eka) then hizo pesa utakazpta ukiuza mahindi ndo ulimie kiaz. Usihof kama huna aridhi zipo zinazokodishwaSasa sikia meku
mimi Sina hata myaji yani hapa napiga miayo haaaaaaaaahm
Usiende kulima hata dakika moja
Rafiki yangu alipoteza hela shambani
Huko mpanda 160M
Huwez kunishauri kuhusu kilim
Asante mkuu mzee alituachia chum hiki kinantosh15M sio haba kijana, nipo Njombe mjini maeneo ya Chaugingi, njoo uchukue pikipiki mpya kwa 2M na 50k cash.
Pikipiki itakusaidia kwenye kufuatilia miradi yako.
Kwahiyo wewe unaona kwasbb rafiki yako alipoteza pesa kila mtu lazima apoteze?Usiende kulima hata dakika moja
Rafiki yangu alipoteza hela shambani
Huko mpanda 160M
Huwez kunishauri kuhusu kilimo.
Pita hv weweKwahiyo wewe unaona kwasbb rafiki yako alipoteza pesa kila mtu lazima apoteze?
Mapembelo .....Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme.
Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji).
Kwa anaye jua A to Z juu ya mambo ninayotakiwa niyafate ili nifanikiwe kufungua hilo duka nipo njombe mjini.
Maeneo ulipo hakuna miti? Kama ipo nunua then toa hyo injini peleka porini nunua benchi na msumeno anza kuchana mbao,utakuja kunishukuruAhaaa ishu Iko ivi mzee alikat moto alituachia Mali ziko na Maza ,mimi Maza akaniachia mashne ya kusaga niendeshe pesa zangu
Baadae nikaingia kwenye kilimo Cha viaz kule ndo nlikokuzia mtaji fasta lakin sipend kilimo mana nikazi ngumu sana ndomana natak niingie kweNy biasharaView attachment 2696001
Karibu lukinga mzeeMi ni mbena