Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hebu fafanua zaidi
Hapana Donn me nilijitoa jana hiyo hiyo kaka mh!
Mwanagu kila heri ila tu ukumbuke kufanya maombi ya utibitisho/udhihirisho
nani amethibitisha kujitoa kwako? Unatakiwa kutoa notice ya siku 14 kabla.... Tena mafaili yako hayaonekani... Ngoja ladyfurahia pamoja na The secretary wayatafute
Mwanagu kila heri ila tu ukumbuke kufanya maombi ya utibitisho/udhihirisho
nimeupenda ushauri wako mama mkwe hii inaonyesha wazi kwamba mama una hofu ya Mungu hivyo hutakuwa kama wakwe wengine
Barikiwa Mkwe
Mshindwe katika jina la aliye mwaga damu kwa ajili ya ukombozi wa dunia. Hiyo notice ya siku 14 lol!
Labda anayeweza kuombea punguzo la siku ni Leah Brown pekee....
asante mama tutafata yale mema yajengayo na sio ya bomoayo.
mwanangu usidharau msheria ya baba yako wala usiyaache mafundisho ya mama yako, kwa maana haya yatakuwa mkufu shingoni mwako na kilemba cha neema KICHWANI mwako.
Amen swthrt.nimeupenda ushauri wako mama mkwe hii inaonyesha wazi kwamba mama una hofu ya Mungu hivyo hutakuwa kama wakwe wengine
Barikiwa Mkwe
Rich woman tumuombe sana Mungu wetu atusaidie, huyu Donn kaisha anza vulugu zake
Ila huyu Rich woman si anamapesa??? Anaweza fanya ile Notice ikarudi mpaka 2Minutes notice aisee...aongee tu kwa herufi kubwa
Rich woman tumuombe sana Mungu wetu atusaidie, huyu Donn kaisha anza vulugu zake