amen. nami najivunia kuwa na mtoto mtiifu kama wewe.Najivunia kua na mama Rich woman njoo huku, daima mama nakuahidi tutaishi katika neno takatifu la Mungu
Pesa zetu zinakuhusu nini?
am proud of you mama noahism maana naona jinsi ulivyowalea vyema hawa vidume wako si kama wengine kabisa
Oooh...unaanza leta jeuri kijana... Notice siku 40... Bila hivyo wewe bado ni member wa C.C.B Mpaka hapo tutakapo ongea kwa herufi kubwaaa
Ila huyu Rich womannoahism si anamapesa??? Anaweza fanya ile Notice ikarudi mpaka 2Minutes notice aisee...aongee tu kwa herufi kubwa
Umemsahau Natalia. Kuna thredi moja aliandika kwa kejeli eti mwanaume mwenyewe ana 'ka'mshahara 'ka' milion mbili tu.
Oooh! moyo mweupe sasa Rich woman
usihofu Mungu alivyo mwaminifu ataulainisha tu moyo wa Donn naye ataelewa tu hili jambo
:amen: :amen: vipi ni kuPM namba yangu ya akaunti usaidie kufanya moyo wangu kuwa laini?
This msg has bn deleted by Hon Kakajambazi.
Reason: Sikuelewa Mada.
Donn pesa huleta jawabu la mambo yote hii ni kwa mujibu wa kitabu cha muhubiri sasa kama itatakiwa pesa am ready to pay the price maana hilo si tatizo