Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

Nkashangaaa anatukana Baba yako hajakufundisha kuishi na mwanamke wewe kwanza sio rijali nikacheka😁
Kwamba wee siyo rijali !!

Una hakika hiyo bikra uliyomtoa ni halisi, siyo Feki?

Ukute anamiliki mwamba flani anayempelekea 🔥 wa uhakika zaidi yako broo
 
Nimeelewa vitu vichache hapa vya msingi..

1-umribwako
2-makuzi yako
3-mind set(perception)
4-ni kweli upo mbali na baba yako
 
Si tunaambiwaga tuoe bikra sasa na huko moto unawaka Mungu tusaidie
 
Watasema hiyo bikra ni chai 😅

Polee mkuu jitahidi kumnanilii kwa ustadi ukute kasikia mambo au kaona mambo ambayo kwako hajawahi kuona ndiyo maana kasema wewe sio rijali msamehe huyo ma mtu
 
Unaweza kukuta anamwambia hivyo ili aongeze viwango na hana nia mbaya kabisa. Women have their life in language.
 
Umempigia baba yake kwa maneno ya binti yake. Hiyo kesi ndogo umeiamua kwa hasira na hakukuwa na haja kumpigia baba mkwe.
 
Usiwe ngumi mkononi, utamn'goa meno uishie kuishi na kibogoyo akicheka unune.
 
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nnna mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Hizo ndio Bikra ninazotaka😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…