Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

Zama hizi siyo za kuhangaika na binadamu mwenzako, hangaika na maisha
 
Eeh mkuu hii ni ngumu kweli, mwanamke mwenye mdomo mkali ni mtihani wa kila siku. Lakini hapo baaba yake umemwaga, maana yeye ndo amemlea. Mimi naona unafaa kukaa chini umuulize kwa utulivu kwanini ana hasira nyingi hivyo, labda kuna kitu kinamsumbua. Usikubali avuke mpaka
 
Yaoge
 
Brooo huyo demu hakutoka bikira sema ulikuta amepaka limao jeusi uko chini ukaisi ni bikira huyo alipaka limao jeusi kwenye mashavu, kwa chini yake aliweka nyanya ya kopoooo. Kama wabisha Leo jifanye kukosea NJIA ulikuta bikira uko njoo dm uzuri namjua vizuri
 
Watu wengi ambao wako obsessed na Bikra huwa wanapigwa kiboya Sana.
Tangu unamtongoza ashakujua wewe unataka Bikra hata akiwa na matabia ya hovyo wewe hujali, anakuingiza Mjini siku ya kwanza ya mchezo anakufanyia drama ambayo hujawahi ukiona na hutoiona hadi ufe, hiyo drama ndio itakuaminisha kuwa alikuwa BikrašŸ˜…šŸ˜…
 
Mtu akinuna muache! Unamchokonoa chokonoa mtu na hasira zake akikujibu shit upate pa kuanzia
Nikiwa na hasira nanyamaza maana nna majibu kama uharo!
 
Hasira zilimzidi huyo, kiwango chake cha uvumilivu kilifika mwisho akaamua kukutolea uvivu, hapo pa Kusema kuwa sio rijali ni msumari wa Moto kabisa, lazima ujiulize URIJALI kwake Una maana gani?, hata kama ulimkera lakini amekatisha mstari mwekundu vibaya Sana...Mpeleke nyumbani kwao kwanza akapumzike kidogo...
 

Noted
 
Kama kuna vitu adhimu unavyopata kutoka kwake Vumilia mkuu Otherwise Tupa Kule Utakufa siku sio zako. Mimi niliwahi pata toto la kingoni kakulia uswahilini huko Temeke Achana na Gubu ni alikuwa akiongea hamalizi ujuaji mwingi kichwani kumejaa shughuli na vijora kilichokuwa kinanipa uzito wa kumwacha ni alikuwa Mtundu Mbwa yule acha kabisa sema yote ya yote baada ya kuanzisha familia nilimtema nisije leta uchafu kwenye familia.
 
Nataka nifungue maabara ya kuwatambua wanawake wanaofaa na wasiofaa kuoa, vipimo vya awali ni kutazama macho, pua na midomo then hatua ya pili ni mahojiano ya kisaikolojia na mwisho ni uchunguzi binafsi bila wao kujijua kama wanafuatiliwa mienendo yao
 
Acha vitisho kwa mkeo utapewa kesi ya ugaidi.
 
Inavoonekana tu huna maamuz pia amejuaje mwanaume rijali yuko vp kama we ndo wakwanza kwake?! hapakua na bikra hapo labda zle za kutengeneza
 
Ukampigia simu baba yake? Kabisa!?Basi,umepunguza portion kubwa ya urijali wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…