Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

Maana yake humridhishi na kuna anaemfanya vizuri kuliko wewe....
Kama ulivunja bikra alafu leo anakwambia wewe sio rijali shtuka
 
......ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra.......
 
Once again bila shaka amekulia kwenye familia ambayo mama yake ndio msemaji mkuu na huo mdomo amejifunza kwa mama yake fatilia kwenye familia yeyote ambayo mama ndio anasauti huchangia sana tabia za mabinti zao kuwa kama zao siku akiolewa atafanya kama mama yake
Usimchekee mwanamke mpumbavu hata siku moja hata kama ulimkuta bikra,bikra sio tabia mkuu na wengi wanaingia cha kike wakizani wanawake bikra ndio wanatabia njema hapana tabia njema hufundishwa nyumbani alikokulia
 
Wewe ni kumamqnyoko yqnn
Unaakiri za kitoto sana jamaaa
 
Hapo hapo kwenye "wewe sio rijali" kashapata marijali wenzake huyo, ingekuwa tiketi baba yake angepokea simu mwanae yuko mlangoni
 
Mpandishe wadhifa awe Bi Mkubwa chaap
 
Huyo Binti kakuzidi akili, issue ndogo kama iyo unampigia baba yake?
Kamzidi vipi akili?. Huyu aanayemwambia mumewe si rijali alipochelewa kurudi nyumbani?
Nahisi kama mke na mume hawana uulewa unaofanana juu ya neno 'Rijali'
 
Hapakuwepo haja ya kumpigia simu huyo baba mkwe wako.
Kwa hilo tusi kama ni kweli kakutukana ulipaswa kuwa mkimya ila mwenye tabasamu mbele yake,usimuulize kuhusu jambo lolote wala kuhitaji chochote kutoka kwake huku ukiwa mwenye furaha kuliko ilivyokuwa awali.
 
Kamzidi vipi akili?. Huyu aanayemwambia mumewe si rijali alipochelewa kurudi nyumbani?
Nahisi kama mke na mume hawana uulewa unaofanana juu ya neno 'Rijali'
Umeoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…