Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kaka Magical power, nina mwanaume ambaye hata kale kamoja tu huwa ni shida inasimama vizuri tu ile tu unaishikashika sababu nimefundwa lazima niishe kwa mkono wangu ndipo niiweke ukiichezea tu unaona tayari kamalizia mkononi hata hajafanya kabisa na ikitokea hivyo basi anavaa analala. Huwa naumia sana niliolewa bila kukutana naye najuta sana kaka katika hili
Nimejaribu kuongea naye ila mkali, anasema kama siwezi kukaa naye niondoke tu ndoa ina mwaka sasa ila sijawahi hata kuenjoy kabisa mara mwisho alifanya kwa dakika 5 hivi 😢
Nimejaribu kuongea naye ila mkali, anasema kama siwezi kukaa naye niondoke tu ndoa ina mwaka sasa ila sijawahi hata kuenjoy kabisa mara mwisho alifanya kwa dakika 5 hivi 😢