To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Unaweza kuonja na bado ikaharibikia ndani..Kumuacha unamuua mazimaaaa
Ndo maana ni vizuri kuonja kabla ya kuingia kwenye kiapo
Kama pesa tu zinaweza ishia mko ndani..
Nadhani ni point inapojia kuwa mpende mtu kama alivyo