To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
š¤£š¤£Nitaenda nikifika miaka 100Hautaki kwenda mbinguni kwenye raha ya ajabu mapema?š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£š¤£Nitaenda nikifika miaka 100Hautaki kwenda mbinguni kwenye raha ya ajabu mapema?š
Na hii ndio maana halisi ya maisha,ndo mana maandiko yanasema "heri wafu wafao katika bwana tangu sasa."
hakikisha unakuwa na vyanzo vya pesa ambavyo havitakupa stress, ardhi,nyumba,kilimo,ufugaji ukiweza kuviweka sawa hivi umeanza kufaulu!.
hakikisha ulaji wako ni salama,zingatia ulaji mzuri natural ktk vingi unavyovitia mdomoni mwako
kiujumla zingatia afya yako pia mazoezi walau yakukutoa jasho,usikae kizembe!.
makazi yako nashauri yawe kijijini,sio kijijini sana kuwe na upatikani wa huduma za kijamii zote!.
weka mbali mtu ambae ni hatari kwako, nawe uishi kwa upendo na wengine kikubwa kuwa halisi!.
pombe,sigara futa hivyo vitu!.
Ufike miaka 100 ili ufanye nini?Habari Wadau see
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi š
Yaani niishi hadi mwaka 2100
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Kwa barabara hizi?Habari Wadau see
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi š
Yaani niishi hadi mwaka 2100
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Miaka 60 mkuu kajamaa kanatoboza! Sasa hivi life expectancy ya Tz nafikri ni zaidi ya hiyo 60! Kwa hiyo kama kajamaa hakana stress kanaipiga hiyo 60 bila ubishi! Ila 100 hizo ni ndoto za alinacha!Umeamua kujicheka mwenyewe kabisa kwa sababu unaelewa kabisa ni ngumu kwa kizazi hiki cha sasa kutoboa hata miaka 60 tu šš¤š½