Nina ndoto ya kufikisha miaka 100 ya kuwa hai duniani

Nina ndoto ya kufikisha miaka 100 ya kuwa hai duniani

Ukitaka kujua utaishi miaka mingapi, angalia tu familia yako....wazee wako, babu/bibi nk. Kuna familia hazifikishi hata 70yrs na kuna wale wanakufa na 80s..
 
Alimuheshimu? Maana hata serikali inatuma wanajeshi wakauwawe ila inawaheshimu. Halafu sijajua kama maandiko yanasema ni baba mzazi au yoyote tu.
Kwa hiyo katoto kakifa kachanga hakajaheshimu wazazi?
 
Kwani wanaposema ukisoma utapata ajira kila asiye na ajira hajasoma?

Anyway, Sijui. Ila kuna sehemu imeandikwa hivyo.
hoja yako ya ajira inampa point yeye kuipinga hoja yako
 
Hapana. Katoto hakajapata hiyo nafasi ya kutoa heshima. Nadhani hii imewalenga wenye ufahamu wa heshima ni nini.
Kuna watu hawakuwahi kuwa na hiyo heshima ila wameishi mda mrefu tu, huo mstari hauna maana , japo kweli mtu anaejitambua wala hapaswi kutishiwa au kupewa ahadi yoyote ili kumheshimu kila mtu.
 
Kuna watu hawakuwahi kuwa na hiyo heshima ila wameishi mda mrefu tu, huo mstari hauna maana , japo kweli mtu anaejitambua wala hapaswi kutishiwa au kupewa ahadi yoyote ili kumheshimu kila mtu.
Huo mstari una maana mkuu, hivi unapatikana kwa waislamu au wakristo au wote?
 
Huo mstari una maana mkuu, hivi unapatikana kwa waislamu au wakristo au wote?
Kabla hata ya uislamu ama ukristo kuwepo Africa msisitizo wa heshima ulikuwepo tu
 
Hahaha. Msaidie kuipinga mkuu
namsaidia vipi mkuu nawewe umeshafanya hivo. we kua neutral alafu soma hoja yako na swali lake na ulichomjibu. utaona kua wote mnaongea lugha moja
 
Habari Wadau see

Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁

Yaani niishi hadi mwaka 2100

Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?

Usijiulize nitaishi miaka mingapi duniani. Jiulize nitaifanyia nini dunia mpaka nitakapoondoka duniani.

NB: Kufa siyo hoja, hoja ni hali ya uhusiano wako na Mungu wako pindi ambapo muda wa kuwa hai duniani utakapo koma.
 
Hoja ipo, Muda wa kuwa hai ukikoma si ndo umekufa boss? Yeye anataka kuishi miaka 100 sio kufa chini ya hapo hata kama ana uhusiano mzuri na MUNGU wake. Swali lake ni atafikishaje miaka 100 Sio atakufa akiwa na mahusiano gani na MUNGU.
 
Usijiulize nitaishi miaka mingapi duniani. Jiulize nitaifanyia nini dunia mpaka nitakapoondoka duniani.

NB: Kufa siyo hoja, hoja ni hali ya uhusiano wako na Mungu wako pindi ambapo muda wa kuwa hai duniani utakapo koma.
lengo lake yeye afike miaka 100, ni kama tu mtu anavyoweka lengo la kujenga nyumba, yeye anataka miaka 100
 
Hoja ipo, Muda wa kuwa hai ukikoma si ndo umekufa boss? Yeye anataka kuishi miaka 100 sio kufa chini ya hapo hata kama ana uhusiano mzuri na MUNGU wake.
Naona kama kuishi mda gani ni jambo la kurithi pia kutoka kwa kizazi chenu🤔 japo haina garentii
 
Habari Wadau see

Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁

Yaani niishi hadi mwaka 2100

Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Miaka 60 tu unavuka barabara kwa kujishauri, hujui ukimbie, utembee au uendelee kusimama, sasa unafikiri miaka 99 utaenda wapi hasa, labda chooni!
 
Habari Wadau see

Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁

Yaani niishi hadi mwaka 2100

Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
HIV we jamaa humu kati umri wetu ni kuanzia 22-70 hakuna ambaye kafikisha Mia tutakupaje ushauri!!
 
Back
Top Bottom