Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
😀 😀 😀 😀Kama ni mwanaume ,na uandishi huo wa emoji ,watakupiga paipu tu,kabla haujafika ata 40
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀 😀 😀Kama ni mwanaume ,na uandishi huo wa emoji ,watakupiga paipu tu,kabla haujafika ata 40
Wapo sana.Kwa member wote wa jf hakuna atakayetoboa mwaka 2100
Bravo broo.Kwa kuwa kifo ni lazima, kinatokea kwa njia mbalimbali kama ajali, ugonjwa, kuuawa, kurogwa na nyingine nyingi. Usikiwazie sana. Usikiweke kichwani mwako kitu ambacho LAZIMA KITOKEE kwa muda wowote.
Unachotakiwa kufanya (sio kitakachozuia ufe) furahia maisha. Panga mipango yako ya maisha, kula vizuri, jali afya yako, furahia kuishi, epuka vinavyokuumiza, epuka kila unachoona kina hatarisha uhai wako n.k LAKINI ZAIDI SANA MTANGULIZE MUNGU KWENYE MAISHA UNAYOISHI.
Forgive me,even God is forgiver.Wewe pia kama mwanaume una mapungufu yapi kupigwa paipu?
Anyway mimi si mtukanaji
Sasa ukiachana na kuomba Mungu hapo unategemea nini?kuishi miaka mingi hata hiyo 100 ni neema kutoka kwa Mungu,ni yeye pekee ndio mwenye uwezo wa kuiachilia kwa mtu amtakaye.Kama ilivyokuwa kwa Hezekia,soma 2Wafalme 20:2-6...Habari Wadau 😳
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁
Yaani niishi hadi mwaka 2100😁
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Amiliki mgodi mmojaSasa ataishije
Fanya Semen retention ndoto yako itatimia kinyume zaidi ya matarajio yakoHabari Wadau see
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁
Yaani niishi hadi mwaka 2100
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Omba mshangazi ukulee ipasavyo mpaka ufikie level akuachie mali zakeHabari Wadau see
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁
Yaani niishi hadi mwaka 2100
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Mzee Mwinyi RIP alisema kuishi muda mrefu oa wake wengi.Habari Wadau see
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁
Yaani niishi hadi mwaka 2100
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Ni kweli bro mazingira ndio mpango mzima !Kama upo Dar, hama. Nenda kaishi mikoa yenye ubaridi na chakula Cha kutosha cha kienyeji.
Ishi mbali kidogo na mji.
Fanya shughuli nyingi za kukuvujisha Jasho.
Usitake makubwa maishani. Kuwa simple tu.
Kwa kifupi, hamia tu Japan. Kuna kisiwa kule watu kugonga miaka mia si story.
Ndiyo ni kwa neema, lakini huwezi kupwemka tu ukategemea neema ya Mungu yenyewe ikakuchagulie chakula bora pale sokoni.Kuishi ni kwa Neema za Mungu tu.
Mtu anayeishi bila kufanyia mazoezi sahihi nguvu zake za kiroho, kimwili, kijamii na kiakili, huyo ni mfu anayetembea.Hakika nimeelewa!
Ila vipi kupigana na wanadamu wenzangu wenye roho mbaya?
""""Nikiwa na pesa taishi simple tuu kama sina pesa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂"""""Kama upo Dar, hama. Nenda kaishi mikoa yenye ubaridi na chakula Cha kutosha cha kienyeji.
Ishi mbali kidogo na mji.
Fanya shughuli nyingi za kukuvujisha Jasho.
Usitake makubwa maishani. Kuwa simple tu.
Kwa kifupi, hamia tu Japan. Kuna kisiwa kule watu kugonga miaka mia si story.
Akikataa ndoa hata miaka 200 anafika akikazaUkitaka kufikisha hiyo miaka ni simple sana USIOWE/KATAA NDOA
Hayana ukweli wowote, kuna mzee namjua ana miaka kama 96 inasemekana alimuua baba yake .Kuna maandiko sehemu yanasema ukiwaheshimu baba na mama utaishi miaka mingi.