Nina Ndoto ya kuwa na wake wengi

Yacky12

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
35
Reaction score
40
Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri.

Sasa sijui nyie mna maoni gani Yani mniambie changamoto ambayo nitakutananayo MTU ukiwa na wake wengi
 
Mkuu ipe nafsi yako kitu inapenda. Kuna wanafiki watakuja kukuponda hapa lkn ukweli ni kwamba hata hao wanaojionyesha kwamba Wameoa Mke mmoja wa Ndoa huko Mtaaani ana nyumba ndogo mbili.
Ili kuepuka fedhea na excuse za mara kwa mara nyumbani halalisha ndoa zako 2 Maisha yataenda tuuu. Epuka wale bwabwaz wa Kataa Ndoa. Oa Mke ni Baraka
 
Baba yangu amefariki akiwa na wake 28 na 9(marehemu),jumla alioa wanawake 37....
Rejea magazeti ya global publishers ya mwaka 2016,utajua naongea nini....
 
Sijui inkuwaje ila naona wenye mke zaidi ya mmoja aenjoy vizuri maisha. Ni kama anajibana mwenyewe yaani hata ule ukaribu na familia yako hauwi mzuri.

Wazee wa zamani walikuwa makiritimba tu. Mambo ya kuwa na wake wengi kiukweli haijakaa vzuri. Upendo ni ngumu kugawanyika.
Ishu si pesa (uwezo wa kuwahudumia) mambo ya familia ni zaidi yapesa.
 
Kwa hio inafaa tuwe na wanawake wangapi mkuu ndio tuweze kukata kiu mujarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…