Nina Ndoto ya kuwa na wake wengi

Nina Ndoto ya kuwa na wake wengi

Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri.

Sasa sijui nyie mna maoni gani Yani mniambie changamoto ambayo nitakutananayo MTU ukiwa na wake wengi
Mpaka sasa una wanaume wangapi? Na sijui kwa nini siku hizi mnapenda kuwa lesbian.
 
Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri.

Sasa sijui nyie mna maoni gani Yani mniambie changamoto ambayo nitakutananayo MTU ukiwa na wake wengi
Pia uwe na hela nyingi
 
kwani wake wengi wenyewe wanasemaje?
nyongeza ya swali; mtoa mada na waliomsapoti akili zenu zipo sawa kweli?
 
Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri.

Sasa sijui nyie mna maoni gani Yani mniambie changamoto ambayo nitakutananayo MTU ukiwa na wake wengi
Km una nguvu oa kaka ila km nguvu ndogo utasaidiwa mpk na houseboy zako maana kwenye ndoa watu wanavumilia vingi
 
Changamoto Huwa Hamna Hadi Pale Ambapo Hutokuwepo Duniani Ndio Vita Vinaanza
 
Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri.

Sasa sijui nyie mna maoni gani Yani mniambie changamoto ambayo nitakutananayo MTU ukiwa na wake wengi
USITHUBUTU, UTAJUTA SANA.
 
NI mbaya mnoo binaadamu siyo watu wema Tena,
 
Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri.

Sasa sijui nyie mna maoni gani Yani mniambie changamoto ambayo nitakutananayo MTU ukiwa na wake wengi

Hongera sana ,hata ukitaka kuoa wake mia ni wewe tu ,ZINGATIA MAOKOTO.
 
Back
Top Bottom