Endelea tu 🤣. To each his own.. we'll meet at the top.Naitaji maoni yako huku
MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi? Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...www.jamiiforums.com
POOR BRAINNina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope.
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Papii kocha Song Waambie
ANgalau tia neno kwenye huo uziEndelea tu 🤣. To each his own.. we'll meet at the top.
Mapema kabisa mkuuMJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi? Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...www.jamiiforums.com
Sawa sawa mkuuJina
Jina hata Kama umepewa na wazazi haliwezi kuzuia kutoboa
Ndio mkuu nina malengo ila kwenye jina hapo .Hilo jambo lipo sana na si bongo tu. Na hata kama ni Bongo tu kwani mhusika anatokea wapi na harakati zake za mafanikio ataanzia wapi? Si hapa hapa!? Anyway Poor Brain nisikuharibie uzi na kukutoa relini kwa ubishani ambao utakuja Kuthibitisha siku. You do you. Una malengo mazuri sana
Uzi huo NimeusomaB M F mkuu kuna jambo naona mood wanalificha sana
Mambo gan mkuu?DR HAYA LAND kuna kitu nilitaka ku share kwa vijana wenzangu ila ndio hvo haya mambo naona wana yaficha sana aiseeeee
Duuuuh mbona hatareee hiyoooUzi huo Nimeusoma
SAbabu ya kuufuta inaweza kua ni wao Moderator wameuona kwa view ya kuamasisha na ku influence vijana kwenye mambo ya Betting na numerology. Ndo wakaona wauondoe
#Tuko pamoja
Angel number is real. MkuuMambo gan mkuu?
Umeitumia Ku manifest ?Angel number is real. Mkuu
Jaribu kuandika kwa kutokuweka wazi direct point unayotaka kutioa .Duuuuh mbona hatareee hiyooo
Badilisha ID yako iyendane na ndoto, kitu kidogo ila kinamaa kubwa sana kwakoNina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope.
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Papii kocha Song Waambie
Unaweza kuwa na elimu ambayo mimi sinaBadilisha ID yako iyendane na ndoto, kitu kidogo ila kinamaa kubwa sana kwako
Naona mambo yangu yanaenda vilw navotaka..Umeitumia Ku manifest ?
Au umepata nn
Just share with us mkuu
Aliye jiajiri mkuu wanguDirector wa kuajiriwa au director aliye jiajiri?