Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
0ne of the best ways to achieve your goals is to sorround yourself with people who have the same dream as yours
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda nimeamka nakikohozi na mafua wiki mbili Sasa.Kuna muda naona tunahangaika sana na maisha ambayo yanaisha muda wwte😩..
Mkuu naamini naaminiKikubwa mtangulize Mungu, Linda/chunga njia zako...
Unaweza kua yeyote ukiamini..nimeona nimefanya..kila kitu kinawezekana Chini ya jua ukiamini.
Mkuu ni kweli usemalo ila sasa how to reach those people.....0ne of the best ways to achieve your goals is to sorround yourself with people who have the same dream as yours
Jana asubuh wakati natoka home ghafla nikamwona wife mnyonge nikamuuliza kulikoni akasema amejikuta amewaza issue ya kariakoo.Daaah mkuu haya maneno yako yanaweza kufanya mtu kulia...
Unajua najikuta nina machozi ya karibu leo yaani mkuu acha tu ..
Nikifikilia na ile ishu ya k,koo kule daah nachoka
why why why inakua hivi tunapambana kweli kweli
Hiki kitu mkuu ni kweli kabisaMuda nimeamka nakikohozi na mafua wiki mbili Sasa.
Nimekunywa mchanganyiko wa kitunguu swaumu,tangawizi,ndimu then nimemeza disloratadine tabs hapa .
Nipo nasikiliza NGOMA za zamani hapa unajua ukilala uka amka akili inakua imetulia Sana nakumbuka mambo mengi Sana na memory za nyumaa..
R.i.p Nkwabi
NB.
Sawa life is short trip Ila haituzuii kufanya lolote..kikubwa tuishi Kama tunaishi milele.
It's better uka share 😊😊Mkuu naamini naamini
Mkuu kuna mambo yanafanyika mpaka nashangaa..
Mwanazoni nilikua najua kama bahati tuu ila sasa nimeona ni kitu serious...
IMANI ni kitu kingine kabisa mkuu.
Kuna jambo huwa natamani ku share ila naona kama hi code ikijulikana na watu wengi basi ile survive for fittest itakua applied...
Maana inawezekana wkatokea watu kama 200 wakatumia hi kitu then what happn ni compitation..
Au katika hayo mambo hakuna iyo.ishu mkuu..
Nataka ni share kitu hapa kuhusu MUDA mkuu japp nilisema sitokuja kusema maana ridhiki yangu yote kwa sasa ime depend on that...
Kwa sasa situmii nguvu baada ya kujua kitu kuhusu MUDA
Msubir jasmine 🤣😂😊😊Hiki kitu mkuu ni kweli kabisa
unajua ukilala uka amka akili inakua imetulia Sana nakumbuka mambo mengi Sana na memory za nyumaa..
Ndo kimenikuta mimi hapa.
Hapa akili yangu imetulia sana mi sio wa kukaa na kuwaza hivi...
Hapa kesho mchana sijui kama taweza waza kuhusu hiki cha mda huu hapo habari itakua ni jinsi gani jpili taenda kwa shangazi dorry wa mbagala...
Au takaa ghetto kumsubri jasmini au janeffa...
Daaah Mungu asimamie hili
Mmmh mkuu acha tuu utepe unaotenganisha uhai na kifo ni mwembamba sana....Jana asubuh wakati natoka home ghafla nikamwona wife mnyonge nikamuuliza kulikoni akasema amejikuta amewaza issue ya kariakoo.
Kesho ni ya Mungu_ bando mc new song..
Jasmine ni mwanafunzi wa form 3 lakini...Msubir jasmine 🤣😂😊😊
Ukifikia hiyo level ubadilishe na hiyo id yako.Mola akutangulie.Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.
Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.
Sema kwa sauti unataka nini usiogope....
Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza
Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.
Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected ..
Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA
Mkuu ni jambo la IMANI kidogo tajaribu ku share baada ya kufatilia..It's better uka share 😊😊
Mkuu kila mtu angekua anaficha MAARIFA hii dunia isinge kuwepo Kama ilivyo Sasa..
We must share...
Asante sna sana mkuu kwa ushauri wako...Ukifikia hiyo level ubadilishe na hiyo id yako.Mola akutangulie.
Asante sna sana mkuu kwa ushauri wako...Ukifikia hiyo level ubadilishe na hiyo id yako.Mola akutangulie.
Nimeitika amen/na iwe vile tuombavyo na Maanani ajaaliye kheri.🙏Asante sna sana mkuu kwa ushauri wako...
Nipo tayari kuufanyia kazi...
Mkuu samahani lakini naomba kwa imani yako tuu hata kimoyo moyo sema ""Mungu mtimizie huyu kijana ndoto yake""
Naimani kwa kutimiza ndoto hii basi kuna wengi watanufaika chini yangu.
Mkuu tuna hustle mnooo mnooo
Yaani inafikia time unasema vipi tatoka katika ho chain
Kuna sehemu nikitoka mishe huwa napitiaga for recreational purpose naweza piga black label yangu moja nasepa home..Mkuu ni kweli usemalo ila sasa how to reach those people.....
Nishawahi jaribu kufata hao wakubwa ila unakutana na za uso...
Unasema oky kama uchawi ni vifaa basi tunajitahidi kupambania kombe maana ujuzi tunao. Idea tunazo nyingi mno..
Communication skill ya kutosha
Team work ya maana ila wapi...
Sasa kinachobaki ni kukabidhi hi kitu kwa aliye juu anajua wewe uta fit vipi
Hu ni ushauri mkubwa sana kwanguKuna sehemu nikitoka mishe huwa napitiaga for recreational purpose naweza piga black label yangu moja nasepa home..
Nikiwa pale Kuna jamaa akaanza nipigisha story za Maisha biashara na kazi yupo humble Sana mwisho akaniomba namba ya simu alijitambulisha Kama mtoto wa kanali wa Jw 😊 sijasevu hata namba so Maisha sometimes ukiwa na SOCIAL CAPITAL KUBWA ni rahisi kufanikisha mipango yako EASY.
Sinaga marafiki kabisa Zaid rafiki yangu mkubwa ni JF.
Mpaka Kuna muda wife alikuaga anachukia coz huwa napenda Sana kusoma soma hapa jukwaani newz mbali mbali.
NB.
Kwenye sala/Dua zako mwombe Mungu akukutanishe na watu SAHIHI
Daaah hizo ndoto sio sasa mkuu..Nina ndoto ya kuwa kama mwamba putin ili niipindue hii serikali ya hovyo