Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Mkuu nakutakia mafanikio mema kwnye ndoto zako, ila issue kubwa naiona inaanzia kwenye jina unalojiita hapa! Kwa kuwa unafanya kiimani zaidi then universe inapokea kile unachoiambia, sasa umeanza kuiambia unaitwa poor brain ndugu yangu, matokeo yako pia yatakuwa poor in the 1st place. Anza kwa kujitamkia na kujiita hilo jina la Director mkubwa wa Africa ili mind yako ilipokee, na kukupeleka unapoombea
Asante sana mkuu ngoja nakifanyia kazi hilo mkuu wangu
 
Mkuu nakutakia mafanikio mema kwnye ndoto zako, ila issue kubwa naiona inaanzia kwenye jina unalojiita hapa! Kwa kuwa unafanya kiimani zaidi then universe inapokea kile unachoiambia, sasa umeanza kuiambia unaitwa poor brain ndugu yangu, matokeo yako pia yatakuwa poor in the 1st place. Anza kwa kujitamkia na kujiita hilo jina la Director mkubwa wa Africa ili mind yako ilipokee, na kukupeleka unapoombea
Na imani mkuu dua yako itanipeleka mbali sana hata hvo unefikilia mbali sana kuhusu universe na umeniambia ukweli usiopingika mkuu ngoja nifanye hivo kwa sasa rasmi nabadili jina kwenye huu uzi na kutumia jina langu la kzi kama director
 
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope....

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected ..

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
Asante sana mtumishi kwa kutukumbusha jambo jema
 
Muda nimeamka nakikohozi na mafua wiki mbili Sasa.
Nimekunywa mchanganyiko wa kitunguu swaumu,tangawizi,ndimu then nimemeza disloratadine tabs hapa .

Nipo nasikiliza NGOMA za zamani hapa unajua ukilala uka amka akili inakua imetulia Sana nakumbuka mambo mengi Sana na memory za nyumaa..

R.i.p Nkwabi

NB.
Sawa life is short trip Ila haituzuii kufanya lolote..kikubwa tuishi Kama tunaishi milele.
Naona kama umechanganya vitu vingi na ujue kitunguu saumu kina nguvu sana then umemalizia na tabs
 
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope....

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected ..

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
Director, hata Baltazar ni director wa fedha. Kuna ma director wa makampuni, mashirika nk. Wewe unataka kuwa director wa kitu gani?
 
Sky is limit -means nothing impossible.

Believe in great things doesn't matter what time it will take.

Formula

Believe in yourself
Get involved in things you love .

Ikiwezekana pendelea kukaa na watu ambao wanfanya kile unafanya au unahitaji kufanya utapata (Insight)
Shukran dactar kwa ushauri wako...
Najua upo sahihi sana unaposema sky is limit.

Hi ilinikuta gafula tuu usiku wa manane aiseeee nitapambania ndoto yangu mpaka kieleweke
 
Director, hata Baltazar ni director wa fedha. Kuna ma director wa makampuni, mashirika nk. Wewe unataka kuwa director wa kitu gani?
Tangu uzi uanze ni wewe umeniuliza hvi..
Mkuu natamani kuwa DIRECTOR wa movies hapa afrika mashariki na kati.

Director mkubwa ambaye tabadilisha soko la bongowood...

Nataka nifanye makubwa kwenye hii tasnia ya film tanzania na afrika mashariki kwa ujumla
 
Back
Top Bottom