Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Safi kijana, mwenzio katengeneza movie 400 za hovyo! Hope wewe utakuwa director wa movies nzuri.Tangu uzi uanze ni wewe umeniuliza hvi..
Mkuu natamani kuwa DIRECTOR wa movies hapa afrika mashariki na kati.
Director mkubwa ambaye tabadilisha soko la bongowood...
Nataka nifanye makubwa kwenye hii tasnia ya film tanzania na afrika mashariki kwa ujumla