Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Tangu uzi uanze ni wewe umeniuliza hvi..
Mkuu natamani kuwa DIRECTOR wa movies hapa afrika mashariki na kati.

Director mkubwa ambaye tabadilisha soko la bongowood...

Nataka nifanye makubwa kwenye hii tasnia ya film tanzania na afrika mashariki kwa ujumla
Safi kijana, mwenzio katengeneza movie 400 za hovyo! Hope wewe utakuwa director wa movies nzuri.
 
Poor Brain , unaambiwa Believe in yourself there is no limit to what You can achieve. Halafu Mariah Carey aliimba akasema there is a miracle when You believe. Kila la heri mdogo wangu la msingi kumbuka kuna vikwazo na magumu mengi lakini usikate tamaa maana bila magumu na vikwazo hauwezi uka grow.

Nothing comes easy, inahitahi commitment ya hali ya juu sana.

Inshallaah utafanikiwa tu.
 
Inshaallah mkuu wangu mambo najua yatatimia tuuu...

Dua zenyu ni.muhimu mkuu wangu
 
Back
Top Bottom