Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

Humu watu wamekomaa na " jina lina reflect image yako" mbona kuna watu wanajiita chma ch mapinduzi ila mapinduzi hatuyaoni.
"Words has power" ndio ila sio kwenye mafanikio. Kwenye mafanikio ni Mindset yako, Support, right people and doing what you love

Sio ukijiita Bill gates ndo utakua tahiri
Daaah mkuu kuna kitu unacho hapo ila naona umeongea kwa summary sana..
Nakuomba kwa muda fafanua kidogo hapo mkuu
 
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..

Naamini Mungu yupo

Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..

Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila ikifika mida kama hii (Usiku wa manane) kaa peke ako lia kwa Mungu wako.

Sema kile unachohutaji be specific unataka nini.

Sema kwa sauti unataka nini usiogope.

Kaa peke ako kama kuna mabaya ulifanya au kufanyia watu omba msamaha. Jisafishe kwanza

Wakuu haya maisha yanaenda usione watu wanafanikiwa tuu ukasema ni kujituma tu.

Hapana nyuma ya yote hayo kuna IMANI haijalishi wewe ni mtu wa ibada au laa ila kama unaamini kuna ONE basi jua tayari upo connected.

Be humble. All in all tupendane tuishi kwa upendo na FURAHA

Papii kocha Song Waambie
Unasomea hio fani au ni passion tu ya u directir?
Una taka uwe una control production inayoshoot au u specialize na video editing?

Kama una ndoto za kuwa movi director basi naku challenge tumia hata simu ku shoot tuone uwezo wako, tafta watu / mazingira u shoot ili ujijenge mdogmdogo sio usubiri mpk uje upate vifaa ndo uanze kutimiz ndoto zako
 
Daaah mkuu kuna kitu unacho hapo ila naona umeongea kwa summary sana..
Nakuomba kwa muda fafanua kidogo hapo mkuu
Naongelea hao wanaosema 'eti jina unalojiita poor brain lina reflect image yako/yaani wewe ulivyo.

Ni kweli binadamu tunasema " words has power" "maneno yana nguvu" ila sio ukijiita Bill gate ndo utakua tajiri

Ili ndoto zako zitimiie inabidi uwe na positive mindset, Right people, support, , detarmination ila sio kama wenyew wanavyo kuambia eti badili jina ndo li reflect mipango yako n ndoto zako
 
Nakumbuka niliwahi kutana na watu wa media flan hvi kubwa hapa bongo daah niliwambia ndoto yangu ila walinicheka sana tena sana aiseeee mpka na mimi nikawa nacheka ...
UNge waonyesha kazi ulizo kwisha fanya au script ulizo andika wasinge kucheka. Ila hivihiv kwa kuongea lazima wakucheke
 
Mdogo wangu Poor Brain nafuatulia posts zako ktk huu naona kabisa una kiu ya kutumiza ndoto zako. Simamia unachokiamini Inshallah utafanikiwa na kuna dogo mwingine yupo humu ni mwandishi mzuri sana wa script huwa natamani sana kufanya naye kazi kwa njia nyingine lakinj naamini mkikutana na kuunganisha mawazo na ujuzi mtafika mbali sana.
 
Unasomea hio fani au ni passion tu ya u directir?
Una taka uwe una control production inayoshoot au u specialize na video editing?

Kama una ndoto za kuwa movi director basi naku challenge tumia hata simu ku shoot tuone uwezo wako, tafta watu / mazingira u shoot ili ujijenge mdogmdogo sio usubiri mpk uje upate vifaa ndo uanze kutimiz ndoto zako
Mkuu tayari kuna video nime fanya nime direct kuna nyimbo inaitwa celebrity ya lili joh angalia kule yutube..

Ile kazi nimefanya japo nime base sana kwenye editing mkuu..

Vifaa nipo kutafuta kidogo kidogo mkuu...

Kuhusu fani mkuu mii nimesoma multimedia pia napenda hivi vtu na nimeandika sana story mkuu..

Hapa naandika script vizuri tuu
Na edit na ku shoot.
Hii kitu napenda mkuu...
Napenda sna tena sana.

Ukiacha hilo mkuu mi naweza kukuchambulia movie A to Z mpaka ukajua nime direct
 
UNge waonyesha kazi ulizo kwisha fanya au script ulizo andika wasinge kucheka. Ila hivihiv kwa kuongea lazima wakucheke
Mkuu pale nilienda kufanya field..
Mkuu wale watu wana dharau kwanza zarau zinaanza baada kusema mimi hiki kiti nakipenda na nasomea pia..

Yaani wakaona kama uwezo mdogo ukifatilia wao wamwwekwa pale kwa kuwa wana vipaji na hayo mambo...

Baada ya kufatilia nikagundua hawa jamaa wengi ni wale online dependent hawana creativity yoyote ile...

Ukitoa wazo wanaweza kuona wanapuuzia ila badae wanakuzunguka wana li advance zaidi...

Sisi watu wa editing tuna depend sana online kule freepik lakini bila kuwa na creativity huwezi toboa utaishia ku copy na ku paste...

Na watu huwezi jua hii ni copy na paste kwa sababu majamaa wamelipia kila kitu yani wanafanya kitu wakiwa wapo full leseni hvo mzigo unachukuliwa juu kwa juu huko ambao sisi underground kupata ni ngumu
 
Mdogo wangu Poor Brain nafuatulia posts zako ktk huu naona kabisa una kiu ya kutumiza ndoto zako. Simamia unachokiamini Inshallah utafanikiwa na kuna dogo mwingine yupo humu ni mwandishi mzuri sana wa script huwa natamani sana kufanya naye kazi kwa njia nyingine lakinj naamini mkikutana na kuunganisha mawazo na ujuzi mtafika mbali sana.
Mkuu fanya utukutanishe tuu mda ukifika...
Maana bila team work hiki kitu hatuwezi fanikisha mkuu..

Mkuu napambana sana sana sana
Mkuu naanza ku shoot maharusi hvo hvo na kufanya editing najua kuna siku moja takua kama kina timamu na zaidi ya hao
 
Back
Top Bottom