Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Sio kukatisha tamaa lakini mambo kama haya ni non sense, hakuna siku pesa itatosha hata ukiwa billionaire, nilimaliza degree ya kwanza nikiwa 24 years old nikasema lazima nipate MBA before 27, leo nina miaka…sijaipata God knows maana hata kwa viboko sirudi shule 😂😂😩