Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26, lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya

Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26, lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya

Vyanzo husika... namaanisha mfano tovuti,viunganishi,ama vitabu husika ni wapi naweza nikipata kwa uhakika zaidi
Fanya physically uza hata ice cream... ili mradi ufanye biashara ondoa kabisa dhana ya kuajiliwa kwenye ubongo wako... invest in business you will remember that one day...!​
 
Fanya physically uza hata ice cream... ili mradi ufanye biashara ondoa kabisa dhana ya kuajiliwa kwenye ubongo wako... invest in business you will remember that one day...!​
Nashukuru kaka...so the best way kujifinza biashara kuingia katika vitendo...ama yanifaa pia kurejelea nadharia zilizohaririwa na wabobezi wa biashara
 
Nashukuru kaka...so the best way kujifinza biashara kuingia katika vitendo...ama yanifaa pia kurejelea nadharia zilizohaririwa na wabobezi wa biashara
Jifunze biashara kwa vitendo...ukirejea nadharia zitakuumiza kichwa kwani nyingi zinazungumzia faida...sijaona nadharia inayoonyesha hasara wanazo kumbana nazo wafanya biashara...!​
 
Acha na shule kabisa yani usijaribu nasoma elect eng mwaka wa 3 kwa majuto

Nakupa ujanja huu, ingia youtube jifunze high income skillz courses ,usikate tamaa jikaze

1.forex
2.crypto investing
3.morden agriculture
4.network marketing
5.copywriting
6.content creating
7 web dvp &programming
8.graphic designs &editing

Chagua moja kati ya hizo skillz u i master kisawa sawa.

*Ukishindwa kabisa basi endeleza kipaji alichokupa mwenyezi Mungu ,use your passion ku make maokoto.
 
"Wakuu habari....Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
 
Acha na shule kabisa yani usijaribu nasoma elect eng mwaka wa 3 kwa majuto

Nakupa ujanja huu, ingia youtube jifunze high income skillz courses ,usikate tamaa jikaze

1.forex
2.crypto investing
3.morden agriculture
4.network marketing
5.copywriting
6.content creating
7 web dvp &programming
8.graphic designs &editing

Chagua moja kati ya hizo skillz u i master kisawa sawa.

*Ukishindwa kabisa basi endeleza kipaji alichokupa mwenyezi Mungu ,use your passion ku make maokoto.
Asante kwa kunifumbua kaka
 
Kama unakaa dar inawezekana unavyotamani Kwa kujikita kwenye ufugaji kama kuku wa nyama(broiler) Kwa sababu ufugaji huu hauhitaji gharama kubwa kama eneo lipo.Lakini inatakiwa uwe na uelewa wa ufugaji kuepuka hasara
 
Nipo Mwanza ...mkubwa
 
Hakuna aliyeweka malengo yakatimia kwa 100% wakati wewe unapanga hili mungu nae anapanga la kwake, ni jambo jema kuiandaa kesho yako lakini hakuna anayejua kesho imebeba nini? Sina cha kukushauri kwasababu kila mtu amepangiwa ridhiki yake na namna ya kuifikia, muhimu jitahidi kuweka akiba na anza na malengo mafupi mafupi kama ni biashara anza nayo kidogo kidogo utajifunza mengi huko mtaani ila sio apa jf, meaning of life Discovered from experience and not learned
 
Back
Top Bottom