Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Jandae kwa yote tu mdogo wangu humu kuna baadhi ya watu washavurugwa watakuja na comments zao za kukuvuruga au kukikatisha tamaa so don't mind them ila pia watakuja wabobezi na wajuzi kukupa nondo za maana na hata michongo , so kuwa tayari kwa lolote 💪For real, ni huku niliona pananifaa kwa ushauri na maelekezo engine kuhusu maisha since imekuwa ni ngumu kuwashirikisha wanajamii walionizungka hasa nikizingatia na mitazamo Yao na yangu ipo tofauti🙏🏾🙏🏾
Tafuta mchumba tajiri"Wakuu habari....Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Ni kweli...na hii ipo katika maisha ...na kila Moja ana utofauti wa njia yake kuelekea malengo husika, na si vibaya kwangu kuuliza ama nakosea mkuu🤌🏾Sio kukatisha tamaa lakini mambo kama haya ni non sense, hakuna siku pesa itatosha hata ukiwa billionaire, nilimaliza degree ya kwanza nikiwa 24 years old nikasema lazima nipate MBA before 27, leo nina miaka…sijaipata God knows maana hata kwa viboko sirudi shule 😂😂😩
Asante mkuuJandae kwa yote tu mdogo wangu humu kuna baadhi ya watu washavurugwa watakuja na comments zao za kukuvuruga au kukikatisha tamaa so don't mind them ila pia watakuja wabobezi na wajuzi kukupa nondo za maana na hata michongo , so kuwa tayari kwa lolote 💪
Mkuu,hakuna raha duniani kama kutumia ulichotafuta kwa jasho lako. PambanaNipe chimbo🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Soma."Wakuu habari....Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Ni kweli, lakini idea ya kuwa huru kiuchumi sio uwezo tuu wa kulipa bills zako, wakati mwingine ni legacy au kusaidia society yote iende mbele, uko vizuri ila ukifanikiwa jiandae kufanya kazi mpaka unakufa 😂😩Ni kweli...na hii ipo katika maisha ...na kila Moja ana utofauti wa njia yake kuelekea malengo husika, na si vibaya kwangu kuuliza ama nakosea mkuu🤌🏾
Utapitia changamoto ila komaa, usikate tamaa"Wakuu habari....Nina umri wa miaka 20 sasa lakini pia kipato nilichonacho kwa siku hakizidi 7000 Nina ndoto za kuwa huru kiuchumi kabla ya miaka 26 lakini Sina mwanga wa kipi nianze kufanya."
Nenda veta mkuu somea "ufundi umeme wa magari" utanishukuru baadaeUko sahihi, ni kipi unanishauri kusoma
Soma kila kinachosomeka, anza kwa kila unachokiona. ukiona kiberiti, kisome detais zote, ukiona kitabu kisome mpaka maandishi madogo.Uko sahihi, ni kipi unanishauri kusoma
Ndio mkuu, Cha msingi natamani niendelee kuwa na hii burning desire Niko nayo naamini sitochoka to the endNi kweli, lakini idea ya kuwa huru kiuchumi sio uwezo tuu wa kulipa bills zako, wakati mwingine ni legacy au kusaidia society yote iende mbele, uko vizuri ila ukifanikiwa jiandae kufanya kazi mpaka unakufa 😂😩
Ulishawah kujaribu skanka ya morogoro also try to pass different burning bushes utapata majibu sahihiNdio mkuu, Cha msingi natamani niendelee kuwa na hii burning desire Niko nayo naamini sitochoka to the end
Unamaanisha ipo Siri katika kusoma😳...ni sawa je, ni kweli kila somo lipo kwa ajili ya kunifikisha ninapotamani kufikia...Soma kila kinachosomeka, anza kwa kila unachokiona. ukiona kiberiti, kisome detais zote, ukiona kitabu kisome mpaka maandishi madogo.
Soma, vyote na chochote bila kubaguwa cha kusoma.
Soma Qur'an, Soma Biblia, Soma Talmud, Soma, Soma, Soma.
Soma miti, soma mimea, soma wanyama, soma watu. Usichoke kusoma wala usifikiri kusoma kuna mwisho.
Soma.Unamaanisha ipo Siri katika kusoma😳...ni sawa je, ni kweli kila somo lipo kwa ajili ya kunifikisha ninapotamani kufikia...