Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara mdogo

Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo
1- Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi hapa ilipo mfano imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na hii imepelekea kuongeza tozo na kodi kwa wananchi ambao tayari wana mzigo mkubwa tayari wa kodi na tozo, pia wanakopa sana jambo ambalo sio afya kwa uchumi
2- Upinzani hawana sera mbadala badala yake wameamua kuongea maneno matupu

Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
1- kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja
2- kwa mda wa miaka 10 ntaongeza pato jipya lenye thamani ya usd billion 100 na zaidi fahamu hiki ni chanzo kipya
3- ntaondoa sektor ambazo sio rasmi kama wamachinga, wauza mitumba bodaboda n.k sababu wataajiriwa kwenye hivyo viwanda laki 1
4- Nchi ikiwa na viwanda zaidi ya laki 1 hizi squatters na slum zitaondoka sababu nchi nzima itapangwa kisasa na upya na itakua ni kosa kujenga bila kibali
Hongera kwa nia nzuri.

Maswali yangu kwako kupima uwezo wako!

1. Utafanikishaje ujenzi wa viwanda laki 1 ndani ya miaka 10 tu?

2. Utafanikishaje sekta zisizo rasmi kuajiliwa kwenye viwanda wakati hawana ujuzi wa kufanya kazi kwenye viwanda?
 
Dogo, kwa hiyo utasubiri mpaka utimize hiyo ndoto yako ya kuwa rais ndipo kisha uanze tena kutaka kutimiza ndoto zako zingine za mipango ya maendeleo pamoja na vyanzo vipya vya kodi!

Kwa umri wako huo wa miaka 32 kwa nini usianze sasa kujitolea katika kazi za jamii ikiweno kugombea uongozi katika ngazi za chini ili uanze mapema kujipambanua na kujidhihirisha umahiri wako katika jukwaa la siasa, ili kuwajengea watu imani kuwa una uwezo, mtazano mbadala, maono mapya na chanya yaendanayo na matakwa ya nyakati, vilevile pamoja kichocheo cha uwakala wa mabadiko ya tabia hasa kwa makundi ya vijana wa rika lako!?
 
Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara mdogo
Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
1- kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja
Lofa mfanyabiashara ndogo machinga eti utajenga viwanda laki moja

Una Hela za kujenga wewe

Hata ulichosoma hukuelewa hujui hata anayejenga viwanda nani ? Hata ukiwa Raisi

Hapo unaaibisha hicho kidigrii chako Koko kina jina refu lakini hamna kitu
 
Una ndoto nzuri, ila ushauri wangu kwako ni vema utumie vyama hivi vilivyopo kufikia malengo yako.
Kuhusu mapungufu yaliyo ndani ya vyama hivyo utayarekebisha utakapotwaa madaraka.
Ili uweze kufikia malengo yako ni vema uweke muda kutoka sasa miaka kumi au ishirini ijayo kuingia kwenye kinyang'anyiro hatimaye kutwaa madaraka.
Kila la kheri
 
Lofa mfanyabiashara ndogo machinga eti utajenga viwanda laki moja

Una Hela za kujenga wewe

Hata ulichosoma hukuelewa hujui hata anayejenga viwanda nani ? Hata ukiwa Raisi

Hapo unaaibisha hicho kidigrii chako Koko kina jina refu lakini hamna kitu
Ahsante na nashukuru kwa ushauri wako
 
Dogo, kwa hiyo utasubiri mpaka utimize hiyo ndoto yako za kuwa rais ndipo kisha uanze tena kutaka kutimiza ndoto zako zingine za mipango ya maendeleo pamoja na vyanzo vipya vya kodi!

Kwa umri huo wa miaka 32 kwa nini usianze sasa kujitolea katika kazi za jamii ikiweno kugombea uongozi katika ngazi za chini ili uanze mapema kujipambanua na kujidhihirisha wewe mwenyewe katika jukwaa la siasa kuwa una uwezo, mtazano mbadala, maono mapya kutokana na matakwa ya nyakati, vilevile pamoja na kuwa wakala wa mabadiko ya tabia hasa kwa vijana wa rika lako!?
Lengo langu ni kuwa Rais na sio nafasi nyingine
 
Hongera kwa nia nzuri.

Maswali yangu kwako kupima uwezo wako!

1. Utafanikishaje ujenzi wa viwanda laki 1 ndani ya miaka 10 tu?

2. Utafanikishaje sekta zisizo rasmi kuajiliwa kwenye viwanda wakati hawana ujuzi wa kufanya kazi kwenye viwanda?
Kwenye viwanda kuna nafasi nyingi tu ambazo zinahitaji unskilled labour
 
Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara mdogo

Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo
1- Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi hapa ilipo mfano imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na hii imepelekea kuongeza tozo na kodi kwa wananchi ambao tayari wana mzigo mkubwa tayari wa kodi na tozo, pia wanakopa sana jambo ambalo sio afya kwa uchumi
2- Upinzani hawana sera mbadala badala yake wameamua kuongea maneno matupu

Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
1- kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja
2- kwa mda wa miaka 10 ntaongeza pato jipya lenye thamani ya usd billion 100 na zaidi fahamu hiki ni chanzo kipya
3- ntaondoa sektor ambazo sio rasmi kama wamachinga, wauza mitumba bodaboda n.k sababu wataajiriwa kwenye hivyo viwanda laki 1
4- Nchi ikiwa na viwanda zaidi ya laki 1 hizi squatters na slum zitaondoka sababu nchi nzima itapangwa kisasa na upya na itakua ni kosa kujenga bila kibali
Kuwa rais lazima uwe na haiba.
Haiba maana yake kuwa sh. bilioni moja
 
Back
Top Bottom