Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Lengo langu ni kuwa Rais na sio nafasi nyingine
Unafahamu taratibu za kugombea urais Tanzania? Wewe ni mwanachama wa chama gani cha siasa?

Si unafahamu katiba ya sasa hairuhusu mgombea binafsi?

Ulitakiwa ujkite kwanza kwenye kubadili haya mazingira na mfumo ambao hauwezi kutupatia viongozi bora bali bora viongozi! Especially under this current constitution.

We unataka kuwa raisi kuendeleza ujinga wa porojo za maneno matamu ya kwenye makabrasha huku matendo ni ufisadi?
 
Hakuna linaloshindikana hapa duniani
 
Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara

Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo
1- Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi hapa ilipo mfano imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na hii imepelekea kuongeza tozo na kodi kwa wananchi ambao tayari wana mzigo mkubwa tayari wa kodi na tozo, pia wanakopa sana jambo ambalo sio afya kwa uchumi

2- Upinzani hawana sera mbadala badala yake wameamua kuongea maneno matupu

Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
i) kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja
ii) kwa mda wa miaka 10 ntaongeza pato jipya lenye thamani ya usd billion 100 na zaidi fahamu hiki ni chanzo kipya
Kutakua na zone saba nchi nzima ambazo zitakua ni kitovu cha viwanda ili kupeleka maendeleo kila mahali ni kama zifuatazo;-
a-Wilaya ya mpanda na uvinza
b-Wilaya ya muleba na karagwe
c-Wilaya ya kishapu na shinyanga vijijini
d-Wilaya ya itigi na manyoni
e-Wilaya ya ruangwa na lindi vijijini
f-Wilaya ya mwanga na moshi vijijini
g-Wilya ya kibaha, chalinze, bagamoyo na mkurunga

iii) ntaondoa sektor ambazo sio rasmi kama wamachinga, wauza mitumba bodaboda n.k sababu wataajiriwa kwenye hivyo viwanda zaidi ya laki 1

iv) Nchi ikiwa na viwanda zaidi ya laki 1 hizi squatters na slum zitaondoka sababu nchi nzima itapangwa kisasa na upya na itakua ni kosa kujenga bila kibali

"Hakuna jiwe litakakuwa juu ya jiwe lingine"
Sawa Sasa tunapitaje pitaje mkuu
 
sawa karibu uje ujaze fomu ya maadili
 
Back
Top Bottom