Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Taja mpoja ambalo halijafanika tukufahamishe zaidi.

Unaonesha upeo wako ni kwa yale mafupi unayoyaelewa tu, kuna mengi sana huyaelewi.
Kama Tanzania kungekua na viwanda unavyovisemea watu wasingekua bize kuagiza bidhaa nje ya nchi kama ilivyo sasa

Nenda kariakoo asilimia zaidi ya 90 bidhaa zinatoka nje ya nchi
 
Kama Tanzania kungekua na viwanda unavyovisemea watu wasingekua bize kuagiza bidhaa nje ya nchi kama ilivyo sasa

Nenda kariakoo asilimia zaidi ya 90 bidhaa zinatoka nje ya nchi
Wapi nimeongelea kiwanda?
. Hata unachokisoma hukielewi halafu unataka kuwa Rais?
 
(Nachanganya kiswahili na kingereza kwenye kuwakilisha mtizamo wangu)

PROFILE
Nina ndoto na nia ya kuwa Rais wa Tanzania ni lini sijui-kwenye huu uzi ntaelezea maono niliyonayo juu ya kuiondoa Tanzania kwenye umaskini.

Jina naitwa Dennis Robert Shughuru nimezaliwa tarehe 2 dec 1991 elimu bachelor of science in economics Mzumbe university.
Tanzania ni nchi maskini naweza tupia lawama viongozi na ntamaliza ila swali la kujiuliza tutatokaje hapa kwenye huu umaskini?? na pia kuna njia nyingi ambazo zinaweza kutumika kuondoa umaskini ila za kwangu ni kama zifuatazo;-

A•-KUJENGA VIWANDA VYA AWALI

Viwanda vya awali vitabadilisha malighafi asilia na kua malighafi wezeshi zitakazokuwa zinatumika viwandani kuzalisha bidhaa za mtumiaji wa mwisho.
Viwanda vya awali vinatakiwa kuwa vikubwa sana ili viwe na faida-vifuatavyo ni viwanda vya awali ntakavyojenga nikiwa Rais wa Tanzania.

FACTORIESCAPACITY
Large Pig iron smelter in Africa- Morogoro mjiniProduct;- High purity pig iron
Quantity;- 1,500,000 of green pig iron
Uses
  • Steel making
  • Alloy making Foundry
  • In automotive castings
  • Iron based castings
Price of pig iron as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Aluminium smelter in Africa- Mbeya mjiniProducts;-
  • Aluminium coil sheet and coil wire
  • Aluminium in re-melt ingot
  • Billet
  • Slab ingot
  • Liquid metal
Quantity;- 500,000 tonnes per year
Uses
  • Electrical cables
  • Cooking utensils
  • Food packaging
  • Beer kegs
  • Heat exchangers
Price of aluminium as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Copper smelter in Africa- Sumbawanga mjiniProducts;-
  • Copper wire coil
  • ETP and oxygen-free copper bus bars
  • Profiles
  • Strips
  • Sheets /tapes
  • Alloys
  • Magnet wires
Quantity;- 1,000,000 tonnes per annum
Price of copper as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Spinning- shinyanga mjiniProducts;-
  • Natural yarn
  • Artifiacial Yarn
Capacity;- 728,000 spinner,
Quantity ;-120 tonne per day
Uses
  • To make all type of fabrics
Price of yarn as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large paper pulp plantProduct;- Dry paper pulp.
Quantity;- 5 million tonnes of dry paper pulp.
Uses;-
  • Paper printouts
  • Receipts
  • Post-its
  • Envelops
  • Paper cups
  • Napkins
  • Toilet rolls
  • Tissues
  • Cardboard
  • Paperboard
Price of dry pulp as a raw materials
  • Cheapest in Africa
Large Semiconductor and printed circuited board fabrication in Africa- Moshi mjiniProducts;- silicon wafer and printed circuit board
Quantity;- 1,000,000 tons
Uses
  • Transistors
  • Circuit boards
  • Computer chips
  • Bank operations
  • Transportation
  • Communications
  • Medical
  • Security networks
  • Preservation of the global environment.
Price of silicon wafer and printed circuited board as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Leather tanning factoryProduct;-
  • Leather fabric
Quantity
  • 200,000 metres of leather a month
Uses of leather fabric
  • Clothing
  • Footwear
  • Handbags
  • Sports equipment
Large Oil refinery in East Africa- Tanga mjiniProducts;-
  • Gasoline
  • Diesel
  • Kerosene
  • Jet Fuel
  • Heating Oil
  • Liquefied Petroleum Gas (LPG)
  • Naphtha
  • Asphalt
  • Petrochemical raw materials
Quantity;- 800,000 barrel per day
Price of crude oil sub products
  • Cheapest in eastern africa
Large pure glass melting furnance plant- SongeaProducts;-
  • Fused silica
  • Fused quartz
  • Quartz glass
Quantity;- 20,000 tonnes of fused silica in 24 hours
Uses;-
  • Optical and optoelectronics devices
  • Microwave
  • Dialectric materials
  • Refractory materials
  • Commercial glass
  • Lighting systems
  • Chemical apparatuses
Price of pure glass as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large petrochemical plant in Africa- Dar es salaamProduct;-
  • Ethylene
  • Propylene
  • Benzene
  • Toluene
  • Xylenes
  • Ammonia
  • Methanol
  • Polyethylene, Polypropylene (Plastics)
Quantity;- 100,000 metric tons of engineering plastic compounds
Price of plastic building blocks
  • Cheapest in eastern africa
Nobium and tantalum Powder-TaboraProducts;-
  • High purity and low-oxygen tantalum and niobium powder
  • Nobium-tin alloy
  • Tantalum pentoxide powder
  • Nobium oxide powder
Price of nobium powder as a rawmaterial
  • Cheapest in Africa

Faida za hivi viwanda 10 kumilikiwa na serikali
  • Kuhakikisha bei ya malighafi zinazozalishwa kutoka kwenye hivi viwanda 11 zinakua chini sana
  • Serikali haita tegemea kodi za wananchi tu, bali watapata mapato kupitia miradi hii 11 ya kimkakati kwa kuuza malighafi kwa wawekezaji wa viwanda tanzania na nje ya nchi
On-going project
Large Installation of electricityTarget is 500,000+ megawatts (gigawatts)
  • Price of electricity both for industrial and household
Cheapest in Africa

Faida za msingi wa viwanda
a•-Itavutia waekezaji wa viwanda
b•-Itaongeza ajira rasmi na kuondoa informal sekta
c•-Itaongeza mapato ya serekali
d•-Mapato yapatikanayo kwenye msingi wa viwanda na viwanda yatatumika kuboresha huduma za jamii na miundombinu

B•-KUWEKA MISINGI MIPYA YA UONGOZI
Unahitaji kuwa na taasisi imara sana ili mwekezaji awe tayari, na imani ya kuweka mtaji wake wa mabilioni hapa Tanzania, yafuatayo ni mabadiliko ya katiba ntakayoyafanya;

KUFANYA MABADILIKO YA KATIBA
  • Mkuu wa Tume ya uchaguzi na msajili wa vyama vya siasa hatachaguliwa tena na Rais bali na vyama vya siasa
  • Majaji wa mahakama kuu hawatachaguliwa tena na Rais
  • Dpp hatachaguliwa tena na Rais bali atapigiwa kura na wananchi, DCI, mkuu wa takukuru atakua chini ya Dpp
  • Mawaziri hawatakuwa wabunge na kutakua na mawaziri 19 makatibu 19, na hakutakua na wabunge wa viti maalumu, na wakuchaguliwa na Rais
  • Wakuu wa mikoa watapigiwa kura na wananchi wa mkoa husika na sio kuteuliwa
  • Mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa na wilaya ni mwanajeshi mstaafu aliyechaguliwa na jeshi
  • Mgombea binafsi kwa nafasi ya Urais na matokeo ya urais kupingwa mahakamani
C•-KUTOA RUZUKU KWA WAEKEZAJI WA NDANI
Serekali yangu itatoa ruzuku kwa waekezaji wa ndani kwa ajili ya kununua mashine kubwa, na za kisasa za kuzalishia bidhaa mbalimbali ili waweze kushindana na wazalishaji bidhaa wa nchi nyingine kwenye soko la dunia
Mfano wa mashine ambazo serekali itatoa ruzuku kwa ajili ya kununuliwa ni kama zifuatazo;-
  1. CNC Milling machine
  2. CNC Drilling machine
  3. CNC Grinding machine
  4. CNC Laser cutters
  5. CNC Waterjet Cutting machine
  6. CNC Plasma cutters
  7. Electric discharge machine
  8. Compression Molding machine
  9. Injection Molding machine
  10. Welding Robot
  11. Paints Robot
  12. Asembly Robot
  13. Aluminium die casting machine
  14. Na nyingine nyingi
Karibu kwa mchango wako
Kwanza huwezi kuwa na rais anaitwa "Shughuru " hili jina liko botanical sana. Pili, sijui kwa nini unafikiri kutekeleza wazo hilo ni lazima uwe rais wa nchi, mbona usianze kama mfanyabiashara kama ilivyo nchi nyingine ambazo uwekezaji mkubwa unafanywa na sekta binafsi? Nyerere aliiacha hii nchi ikiwa na viwanda vingi, je kwa nini vilikufa na unaamini vipi kuwa, na hivi havitakufa?
 
Huo ni mtazamo wako na una-uhuru huo wa kufikiri
Zama za nyerere na hizi ni zama mbili tofauti
 
Baminhu bugawabugaawa, unge winhagwa ntwe na mapembe galeko
 
Faida za viwanda vya awali
a•-Itavutia waekezaji wa viwanda vikubwa na vidogo
b•-Itaongeza ajira rasmi na kuondoa sekta ambazo sio rasmi
c•-Itaongeza mapato ya serekali
d•-Mapato yapatikanayo kwenye vieanda vya awali na viwanda yatatumika kuboresha huduma za jamii na miundombinu
 
Mfano wa petrochemical plant na bidhaa inazozalisha
441BE1A1-36AC-46E1-A08F-B210466B469A.jpeg
 
Back
Top Bottom