Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Acha ujinga mzee hujui hata Sheria zakua raisi halafu unataka uraisi boya wewe nyie ndio mnakuwaga mafisadi mkishaingia kwenye vyeo mwanzo mnajifanya mtasaidia wananchi raisi wa kweli kama magu alikua Hana mambo mengi anasema sitawaangusa tu basi Sasa wewe porojo nyingi hata form hujapewa kiufupi wewe tapeli kama wajinga wenzio wa ccm
Ulikuwa na point lakini kumtaja Jiwe umeharibu point yako, ila hii ni kwa mujibu wangu mimi tu
 
Vyeti feki lazima mumchukie fanyeni kazi acheni kupenda slopu
Acha kumvua nguo mzazi wako, unasema cheti feki wakati hujui hata kama nina cheti chochote. Nyie ndiyo mlikuwa mtaji wa jiwe, akili kisoda, na unaweza kuta uko above 25 years lakini ndiyo hivyo tena.
 
Acha kumvua nguo mzazi wako, unasema cheti feki wakati hujui hata kama nina cheti chochote. Nyie ndiyo mlikuwa mtaji wa jiwe, akili kisoda, na unaweza kuta uko above 25 years lakini ndiyo hivyo tena.
Vyeti feki fanyeni kazi acheni kupenda slopu
 
(Nachanganya kiswahili na kingereza kwenye kuwakilisha mtizamo wangu)

PROFILE
Jina naitwa Dennis Robert Shughuru miaka 32, elimu bachelor of science in economics Mzumbe University

MANIFESTO
First phase

Kuondoka kwenye umaskini uchumi wa Tanzania unatakiwa uwe na uzalishaji mkubwa wa bidhaa za viwandani (high value and high productivity) itaongeza ajira, wigo wa walipa kodi, na kuondoa umaskini;- nikiwa Rais ntafanya mambo yafuatayo

KUJENGA MIUNDOMBINU YA VIWANDA
Kwa kipindi cha miaka 7 serikali itajenga viwanda vya kimkakati 10 ambavyo vitakua msingi wa miundombinu ya viwanda

FACTORIESCAPACITY
Large Pig iron smelter in Africa- Morogoro mjiniProduct;- High purity pig iron
Quantity;- 1,500,000 of green pig iron-
Uses pig iron
  • Steel making
  • Alloy making
  • Foundry
  • In automotive castings
  • Iron based castings
Price of pig iron as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Aluminium smelter in Africa- Mbeya mjiniProducts;-
  • Aluminium coil sheet and coil wire
  • Aluminium in re-melt ingot
  • Billet
  • Slab ingot
  • Liquid metal
Quantity;- 500,000 tonnes per year
Uses of aluminium
  • Electrical cables
  • Cooking utensils
  • Food packaging
  • Beer kegs
  • Heat exchangers
Price of aluminium as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Copper smelter in Africa- Sumbawanga mjiniProducts;-
  • Copper wire coil
  • ETP and oxygen-free copper bus bars
  • Profiles
  • Strips
  • Sheets /tapes
  • Alloys
  • Magnet wires
Uses of copper
  • Can be drawn into wires
  • Wiring
  • Motors
Quantity;- 1,000,000 tonnes per annum
Price of copper as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Spinning- shinyanga mjiniProducts;-
  • Natural yarn
  • Artifiacial Yarn
Capacity;- 728,000 spinner,
Quantity ;-120 tonne per day
Uses spin
  • To make all type of fabrics
Price of yarn as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large paper pulp plantProduct;- Dry paper pulp.
Quantity;- 5 million tonnes of dry paper pulp.
Uses paper pulp
  • Paper printouts
  • Receipts
  • Post-its
  • Envelops
  • Paper cups
  • Napkins
  • Toilet rolls
  • Tissues
  • Cardboard
  • Paperboard
Price of dry pulp as a raw materials
  • Cheapest in Africa
Large Semiconductor fabrication in Africa- Moshi mjiniProduct;- silicon wafer
Quantity;- 1,000,000 tons
Uses of silicon wafer
  • Transistors
  • Circuit boards
  • Computer chips
  • Bank operations
  • Transportation
  • Communications
  • Medical
  • Security networks
  • Preservation of the global environment.
Price of silicon wafer as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large Oil refinery in East Africa- Tanga mjiniProducts;-
  • Gasoline
  • Diesel
  • Kerosene
  • Jet Fuel
  • Heating Oil
  • Liquefied Petroleum Gas (LPG)
  • Naphtha
  • Asphalt
  • Petrochemical raw materials
Quantity;- 800,000 barrel per day
Price of crude oil sub products
  • Cheapest in eastern africa
Large pure glass melting furnance plant- SongeaProducts;-
  • Fused silica
  • Fused quartz
  • Quartz glass
Quantity;- 20,000 tonnes of fused silica in 24 hours
Uses of pure glass
  • Optical and optoelectronics devices
  • Microwave
  • Dialectric materials
  • Refractory materials
  • Commercial glass
  • Lighting systems
  • Chemical apparatuses
Price of pure glass as a raw material
  • Cheapest in eastern africa
Large petrochemical plant in Africa- Dar es salaamProduct;-
  • Ethylene
  • Propylene
  • Benzene
  • Toluene
  • Xylenes
  • Ammonia
  • Methanol
  • Polyethylene, Polypropylene (Plastics)
Quantity;- 100,000 metric tons of engineering plastic compounds
Price of plastic building blocks
  • Cheapest in eastern africa
Nobium and tantalum Powder-TaboraProducts;-
  • High purity and low-oxygen tantalum and niobium powder
  • Nobium-tin alloy
  • Tantalum pentoxide powder
  • Nobium oxide powder
Uses of nobium and tantalum powder
  • In the aerospace and energy industries as additives for improving the corrosion resistance of turbine blades
  • Sunperconductin magnets for medical imaging devices
  • Particle accelerators
  • Fusion reactors
Price of nobium powder as a rawmaterial
  • Cheapest in Africa
Faida za hivi viwanda 10 kumilikiwa na serikali
  • Kuhakikisha bei ya malighafi zinazozalishwa kutoka kwenye hivi viwanda 11 zinakua chini sana
  • Serikali haita tegemea kodi za wananchi tu, bali watapata mapato kupitia miradi hii 11 ya kimkakati kwa kuuza malighafi kwa wawekezaji wa viwanda tanzania na nje ya nchi
On-going project
Large Installation of electricityTarget is 500,000+ megawatts (gigawatts)
  • Price of electricity both for industrial and household
Cheapest in Africa

KUFANYA MABADILIKO YA KATIBA
  • Mkuu wa Tume ya uchaguzi na msajili wa vyama vya siasa hatachaguliwa tena na Rais bali na vyama vya siasa
  • Majaji wa mahakama kuu hawatachaguliwa tena na Rais
  • Dpp hatachaguliwa tena na Rais bali atapigiwa kura na wananchi, DCI, mkuu wa takukuru atakua chini ya Dpp
  • Mawaziri hawatakuwa wabunge na kutakua na mawaziri 19 makatibu 19, na hakutakua na wabunge wa viti maalumu, na wakuchaguliwa na Rais
  • Wakuu wa mikoa watapigiwa kura na wananchi wa mkoa husika na sio kuteuliwa
  • Mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa na wilaya ni mwanajeshi mstaafu aliyechaguliwa na jeshi
  • Mgombea binafsi kwa nafasi ya Urais na matokeo ya urais kupingwa mahakamani
Second phase
Awamu ya pili itajumuisha serekali kuwezesha waekezaji wakitanzania kujenga viwanda vifuatavyo;-
Megafactory
Battery
Motor
Inverter
Industrial hydraulic equipment
Leather
Compressor

Third phase
A-Kufanya mchanganuo wa gharama za kuzalisha bidhaa mbalimbali hapa Tanzania vs sehemu nyingine duniani; mfano aina zote za magari, fridge, nguo, ac, smartphones, computer, wind turbine, solar panel, viatu, mabegi, tv, feni, vioo n.k na hiyo framework watapewa waekezaji wa viwanda hapa Tanzania na itajumuisha mambo yafuatayo;-

  • Itaonyesha gharama za kuzalisha bidhaa mbalimbali zenye ubora wa hali ya juu hapa Tanzania na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha
  • Itaonyesha gharama za Kuzalisha bidhaa zenye ubora wa kawaida hapa Tanzania na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha
  • Itaonyesha gharama za Kuzalisha bidhaa zenye ubora wa chini hapa na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha
  • Itaonyesha gharama za kuzalisha bidhaa zenye ubora wa chini sana hapa Tanzania, na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha; kwa lengo la kuhakikisha watu wa kipato cha chini sana hawaachwi nyuma
Serikali itatoa ruzuku kwa ununuzi wa mitambo mikubwa ya viwandani mfano CNC machine, stamping dies, robots za viwandani, n.k
Karibu uchangie maoni yako
IN YOU I BELIEVE,IN YOU I DOUBT ??HOW CAN YOU ELABOLATE THIS EMBARGO.

AM WAITING 🙏
 
KUKUZA MICHEZO
Miaka ya karibuni ligi ya Tanzania imepanda ubora ila hali ya viwanja ni mbaya sana
Serikali itajenga viwanja vya mpira 6 vya kisasa (nyasi za asili na kusupport VAR) vyenye uwezo wa kubeba watazamaji elfu 25 na vitakua na uwezo wa kuongezwa mpaka watu elfu 60
Dsm 2
mbeya 1
Dodoma 1
Tanga 1
Mwanza 1
Hii ni awamu ya kwanza zipo nyingine lengo ni kila mkoa kujenga uwanja wa watu 25 wa mpira wa miguu wa kisasa
Miundombinu ya viwanja ikiwa mizuri mpira wa miguu unaweza itangaza nchi sana.
 
Kiswahili kina lack some words Ila ngoja nijaribu kutafsiri...

"IN YOU I BELIEVE,IN YOU I DOUBT ??HOW CAN YOU ELABOLATE THIS EMBARGO."

Namaanisha,

Kutokana na maelekezo na mbinu na mipango nimekuamini, kwa upande mwingine na wasiwasi hutoweza kufanikisha mipango/sera zako how? Unaweza kuondoa huo utata/ kikwazo?
 
Nchi nzima itapimwa kutakua na mipango miji ya kisasa kutakua na maeneo ya wazi, public garden na kutakua na namna ya kujenga nyumba na majengo yatakayokua uniformity. Tanzania miji haipendezi sababu hakuna uniformity kwenye nyumba na majengo na itakua ni kosa la jinai kujenga bila kufuata mipango miji

KUKUZA MICHEZO
Miaka ya karibuni ligi ya Tanzania imepanda ubora ila hali ya viwanja ni mbaya sana
Serikali itajenga viwanja vya mpira 6 vya kisasa (nyasi za asili na kusupport VAR) vyenye uwezo wa kubeba watazamaji elfu 25 na vitakua na uwezo wa kuongezwa mpaka watu elfu 60
Dsm 2
mbeya 1
Dodoma 1
Tanga 1
Mwanza 1
Hii ni awamu ya kwanza zipo nyingine lengo ni kila mkoa kujenga uwanja wa watu 25 wa mpira wa miguu wa kisasa

KUKUZA UTALII
Utajengwa uwanja wa kilimanjaro diamond league utakao replace kilimanjaro marathon, na utakua na uwezo wa kubeba watu elfu 40., pia utajengwa uwanja wa tennis Arusha wenye uwezo wa kubeba watu elfu 25 kwa ajili ya Serengeti open.
Serikali itapeleka maombi haya mashindano mawili yaingie kwenye calender ya kimataifa.

ARENA ZA KISASA
Serikali itajenga multpurpose arena mbili, moja itakua DSM na nyingine Arusha zenye uwezo wa kubeba watu 15 kwa ajili ya music concerts, boxing, wrestling, matamasha ya dini, matamasha ya kisiasa na matamasha ya elimu

Second phase
Awamu ya pili itajumuisha serekali kuwezesha waekezaji wakitanzania kujenga viwanda vifuatavyo;-
Megafactory
Battery
Motor
Inverter
Industrial hydraulic equipment
Leather
Compressor

Third phase
A-Kufanya mchanganuo wa gharama za kuzalisha bidhaa mbalimbali hapa Tanzania vs sehemu nyingine duniani; mfano aina zote za magari, fridge, nguo, ac, smartphones, computer, wind turbine, solar panel, viatu, mabegi, tv, feni, vioo n.k na hiyo framework watapewa waekezaji wa viwanda hapa Tanzania na itajumuisha mambo yafuatayo;-

  • Itaonyesha gharama za kuzalisha bidhaa mbalimbali zenye ubora wa hali ya juu hapa Tanzania na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha
  • Itaonyesha gharama za Kuzalisha bidhaa zenye ubora wa kawaida hapa Tanzania na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha
  • Itaonyesha gharama za Kuzalisha bidhaa zenye ubora wa chini hapa na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha
  • Itaonyesha gharama za kuzalisha bidhaa zenye ubora wa chini sana hapa Tanzania, na namna ya kutumia gharama ndogo sana kuzizalisha; kwa lengo la kuhakikisha watu wa kipato cha chini sana hawaachwi nyuma
Serikali itatoa ruzuku kwa ununuzi wa mitambo mikubwa ya viwandani mfano CNC machine, stamping dies, robots za viwandani, n.k
Karibu uchangie maoni yako
Mbona hukumwambia Magu uwe mshauri wake?? Of course kwa kulinganisha na huyu kilaza wa kizmkazi afadhali wewe!
 
Kiswahili kina lack some words Ila ngoja nijaribu kutafsiri...

"IN YOU I BELIEVE,IN YOU I DOUBT ??HOW CAN YOU ELABOLATE THIS EMBARGO."

Namaanisha,

Kutokana na maelekezo na mbinu na mipango nimekuamini, kwa upande mwingine na wasiwasi hutoweza kufanikisha mipango/sera zako how? Unaweza kuondoa huo utata/ kikwazo?
Ni kweli hakuna jambo rahis na hio mipango ni migumu huo ndo ukweli ila ntapambana kuhakikisha Inafanikiwa hasa viwanda kumi nilivyoviainisha vile vikikamilika kutekeleza mipango mingine kutakua na wepesi sababu tayari tutakua na msingi wa viwanda

Na hivyo viwanda 10 ambavyo vitatoa malighafi zitakazotumiwa na viwanda vingine vitaongeza mapato kwa kiwango kikubwa sana
 
Niko hapa kukuomba ukiwa raisi najiona nafaa kabisa kuwa waziri wa ulinzi maana sitajiuliza Mara mbili ukisema kapige Ka Malawi ,ni fasta nakasambaratisha .

Zaidi nakutakia upambanaji mwema na kutafuta mkate wa kila siku mheshimiwa raisi
 
Kiswahili kina lack some words Ila ngoja nijaribu kutafsiri...

"IN YOU I BELIEVE,IN YOU I DOUBT ??HOW CAN YOU ELABOLATE THIS EMBARGO."

Namaanisha,

Kutokana na maelekezo na mbinu na mipango nimekuamini, kwa upande mwingine na wasiwasi hutoweza kufanikisha mipango/sera zako how? Unaweza kuondoa huo utata/ kikwazo?
Embargo _utata/ kikwazo ,nimeichukua hii kesho nikiingia theatre kazi wanayo manesi na wauguzi ni mwendo wa akikosea kidogo ni remove that embargo ,huku muda mwingine naongezea na kale ka Jana ka ,hey don't be simp guy .

Mpaka wakome kutosoma Kama mimi
 
Back
Top Bottom