Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara
Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo
1- Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi hapa ilipo mfano imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na hii imepelekea kuongeza tozo na kodi kwa wananchi ambao tayari wana mzigo mkubwa tayari wa kodi na tozo, pia wanakopa sana jambo ambalo sio afya kwa uchumi
2- Upinzani hawana sera mbadala badala yake wameamua kuongea maneno matupu
Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
i) kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja
ii) kwa mda wa miaka 10 ntaongeza pato jipya lenye thamani ya usd billion 100 na zaidi fahamu hiki ni chanzo kipya
Kutakua na zone saba nchi nzima ambazo zitakua ni kitovu cha viwanda ili kupeleka maendeleo kila mahali ni kama zifuatazo;-
a-Wilaya ya mpanda na uvinza viwanda zaidi ya 20,000
b-Wilaya ya muleba na karagwe viwanda zaidi ya 20,000
c-Wilaya ya kishapu na shinyanga vijijini viwanda zaidi ya 20,000
d-Wilaya ya itigi na manyoni viwanda zaidi ya 20,000
e-Wilaya ya ruangwa na lindi vijijini viwanda zaidi ya 20,000
f-Wilaya ya mwanga na moshi vijijini viwanda zaidi ya 20,000
g-Wilya ya kibaha, chalinze, bagamoyo na mkurunga viwanda zaidi ya 30,000
Kutakua na factories ambazo zinazalisha bidhaa from scratch na sio assembly na vitakuwa ni vya ku-export kwenye soko la dunia
Primary industries
Steel
Aluminium
Leather
Plastic
Glass
Copper cable
Battery
Secondary industries
Automobile
Chipset
Home appliances
Smartphones
Clothes and apparel
Aeroplane
Pharmaceutical
Minimum wages itakua sh 10,000
iii) ntaondoa sektor ambazo sio rasmi (informal sector)kama wamachinga, wauza mitumba bodaboda n.k sababu wataajiriwa kwenye hivyo viwanda zaidi ya laki 1
iv) Nchi ikiwa na viwanda zaidi ya laki 1 hizi squatters na slum zitaondoka tu automatical sababu kutakua na hela ya kuziondoa na watu watakua na kazi za uhakika na hii itaenda sambamba na kupanga kisasa nchi nzima kisasa na nyumba na majengo yatakua na mfumo unao-fanana ili miji yetu ipendeze sio kila mtu anajenga jenga namna anavyotaka
"Hakuna jiwe litakakuwa juu ya jiwe lingine; jiunge turudishe madaraka kwa wananchi"