Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Lazima kutakua na mipango miji, nikimaanisha nchi nzima itapangaliwa hakutakua na squatter zilizotokana na ujenzi holela

Miji itakua na public garden tofauti na sasa hivi miji haina public garden, ni vurugu vurugu
 
Ndani ya siku 100 za kwanza ntafanya mambo mawili
  1. Kuanza kupima nchi nzima ili makazi ya watu na viwanda vikijengwa vizingatie mpango miji baada ya nchi nzima kupima kila mtaa kutakua na raman ya mtaa wao na aina ya biashara zinazotakiwa na nikosa kisheria ukijenga bila kufuata mipango miji
  2. Aina ya nyumba, au majengo ya serekali yanatakiwa yaonekanaje yatakua na muonekana unaofanana ili miji ipendeze ni kosa kisheria kujenga bila kufuata aina ya nyumba au jengo linalotakiwa kujengwa
  3. Kuanza mpango wa kuzalisha megawatts 100,000 (gigawatts 100) za umeme
 
Tanzania itaanza kutengeneza viwanda vya magari from scratch na tutapambana viuzwe kwa usd 3000 na kuendelea na kwa sababu bei itakua rahisi itakua ni rahisi kuuza kwenye soko la dunia
 
Kipimo Cha kumudu uongozi ni kua na familia na kuweza kuuicontrol.... Ukishindwa control familia hufai hata kua Mwenyekitii wa mtaa.
 
Nina miaka 32, elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe, kazi nayojishughulisha kwa sasa mfanyabiashara
Unataka kujenga viwanda 20,000 wilaya ya Mwanga Kilimanjaro ni viwanda vya kusindika mawe au vumbi?
 
Katiba inataka mtu akigombea urais wa Tanzania anatakiwa awe na miaka 40 mimi sina; Bali hii ni movement yenye lengo la kuingia madarakan kwa njia ya aman nikimaanisha serekali iliyopo inikabidhi madaraka kwa amani ili niwatoe watanzania kwenye umaskini it sound awkward ila ndo lengo
 
Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha informal sector zinaondoka kwa serikali kuwezesha ujenzi wa viwanda vingi na kuwaajiri watu ambao walikua wanajihusisha na informal sector na itawezesha watu wengi kuwa na account za bank sababu mishahara yao watukua wanalipwa kupitia account za bank

Faida za watu wengi kuwa na bank account
  • Ku-facilitate cash-less economy
  • Kukusanya kodi kirahisi
  • Kupambana na utakatishaji fedha
 
Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha informal sector zinaondoka kwa serikali kuwezesha ujenzi wa viwanda vingi na kuwaajiri watu ambao walikua wanajihusisha na informal sector na itawezesha watu wengi kuwa na account za bank sababu mishahara yao watukua wanalipwa kupitia account za bank

Faida za watu wengi kuwa na bank account
  • Ku-facilitate cash-less economy
  • Kukusanya kodi kirahisi
  • Kupambana na utakatishaji fedha
Mimi nina ndoto kama ulizozonazo. Lkn kwa uoni wangu vinahitaji kuongezewa nyama.

Kwasasa nina miaka 50.

Tuungane, tutafute nafasi hizo kupitia vyama vilivyopo au tuanzishe kipya.

kama kipya una nguvu gani ya kupata wanachama 200 kwa mikoa 10 kwa wastani. Unai uwezo wa kupata walau kwa mikoa 5
 
Back
Top Bottom