1. Ujenzi vya vyuo vya VETA kwa kuanzia na ngazi ya Wilaya hadi ngazi Tarafa.
2. Wanafunzi wote wakimaliza kidato cha sita waende VETA mwaka mmoja kabla ya kwenda Chuo kikuu na wanafunzi wote wa sekondari waliokosa vyuo rasmi waende veta mwaka mmoja hadi mitatu kutokana na ufaulu wao (HAPA NDIPO TUNAPATA WAZALISHAJI WENYE UJUZI)
3. Kuipa dhamani Saiyansi kwa kuajiri waalimu wa Hesabu na Saiyansi wa kutosheleza mahitaji kwa asilimia 100% (kuanzia Msingi hadi Sekondari) kwani hao ndio wanaweza kufanya magezi ya viwanda kwa nchi yoyote duniani
4. Technologia kuwa kipaumbele katika kufanyaji kazi
5. Kuhakikisha huduma zote zinazotumiwa na wanachi zinakuwa na namba ya mawasiliano inayopokelewa (simu & Email) Hii itajumuisha ofisi zote kubwa za Serikali, Mahospitali, vyuo, mashule ya sekondari, wilayani , VITUO VYA POLISI nk nk[/QUOTE]