Dennis R Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 267
- 372
- Thread starter
- #161
Watu wengi wananiuliza unawezaje kugombea na wakati una miaka 32 huku katiba ikitaka mtu awe na miaka 40, na wengine wanasema nina ndoto za alinacha
Jibu ni kwamba hii movement ina-malengo ya mda mrefu nikimaanisha itachukua mda ili itimie sio jambo la leo au kesho na mimi sina uhusiano wowote na chama cha siasa
Jibu ni kwamba hii movement ina-malengo ya mda mrefu nikimaanisha itachukua mda ili itimie sio jambo la leo au kesho na mimi sina uhusiano wowote na chama cha siasa