Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Mimi nina ndoto kama ulizozonazo. Lkn kwa uoni wangu vinahitaji kuongezewa nyama.

Kwasasa nina miaka 50.

Tuungane, tutafute nafasi hizo kupitia vyama vilivyopo au tuanzishe kipya.

kama kipya una nguvu gani ya kupata wanachama 200 kwa mikoa 10 kwa wastani. Unai uwezo wa kupata walau kwa mikoa 5
Njia yangu ni tofauti na njia iliyozoeleka sitapitia mfumo uliopo ila ntakua Rais wa Tanzania sahivi ni ngumu kunielewa ila baadae utanielewa

Mabadiliko nchi hii hayatapitia mfumo uliopo yatakuja kwa mfumo mwingine kabisa
 
Kisochoeleza kikaelewa ni miujiza pekee.

Nataraji sasa unaelewa kuwa nabii na mtume mpya sawa na imani yako
 
Kisochoeleza kikaelewa ni miujiza pekee.

Nataraji sasa unaelewa kuwa nabii na mtume mpya sawa na imani yako
Mimi wazo la kuwa Rais ni la mda sana zaidi hata ya miaka 20 iliyopita ni kitu ambacho kimekua kikinisumbua au kunikereketa yaani kilikua kinanipa curiosity kubwa sana

Mimi nimesoma historia za watu wafuatao
Nelson mandela
Ruhola khomein
Hussein al houth
Mullah omar
Karl marx
Deng xioping

Katika hao niliowataja hapo juu nimejifunza hasa mapungufu yao na mimi sitakiwi kurudia mapungufu yao; ndo maana nikakuambia najua approach nayotumia
 
Ni wazo na ndoto nzuri ila kumbuka wanaomaliza elimu ya juu hawaakisi kuja kuajiliwa kwa kazi za vibarua. Inahitajika skills.
Pili hata ukijaribu kuwapa wazawa/ familia kumiliki viwanda, wengi hawana mentality ya coorperate.
Ni vyema huo ujenzi wa viwanda uwe na muendelelezo. Na ungeainisha ni viwanda vya aina ipi na ukubwa wake.

Kuhusu makazi. Watu wa mipango miji wajipange kweli. Na fedha za kununulia viwanja zitumike ipasavyo wanajua kuweka beacons tu ila hawachongi barabara wala kupeleka maji. Miradi ya viwanja ingeenda sambamba na uwekaji wa miundombinu. Barabara zihusishe sehemu za watembea miguu na baiskeli. Viwanja vya mazoezi.
Tuanze matumizi ya pave za mawe na kokoto badala kusubiri lami za uarabuni.
 
Mkuu tuko pamoja kwenye harakati zako, jamani nafasi ya First Lady nishawahi.!!
Nyie wengine subirini Zaylissa aachike na Manara umkabie kwa juu 🤣
 
Ni wazo na ndoto nzuri ila kumbuka wanaomaliza elimu ya juu hawaakisi kuja kuajiliwa kwa kazi za vibarua. Inahitajika skills.
Pili hata ukijaribu kuwapa wazawa/ familia kumiliki viwanda, wengi hawana mentality ya coorperate.
Ni vyema huo ujenzi wa viwanda uwe na muendelelezo. Na ungeainisha ni viwanda vya aina ipi na ukubwa wake.

Kuhusu makazi. Watu wa mipango miji wajipange kweli. Na fedha za kununulia viwanja zitumike ipasavyo wanajua kuweka beacons tu ila hawachongi barabara wala kupeleka maji. Miradi ya viwanja ingeenda sambamba na uwekaji wa miundombinu. Barabara zihusishe sehemu za watembea miguu na baiskeli. Viwanja vya mazoezi.
Tuanze matumizi ya pave za mawe na kokoto badala kusubiri lami za uarabuni.
Kama majority ya watanzania wanafanya kazi za bodaboda na machinga kwanini unaona kazi ya laki 3 kwa mwezi kama kianzio ni ndogo sio ndogo

Tunagroup kubwa sana ambayo hilo laki 3 kwa mwezi hawaingizi alafu kumbuka laki 3 ni minimum wages means mtu anaweza lipwa zaidi ya hiyo laki 3
 
Kuongeza walipa kodi wapya kwa sababu watu wengi watakua wanajihusisha na sekta rasmi tofauti na sasa hivi kuna informal sekta nyingi
 
miradi yote mikubwa ya ujenzi itajengwa na kampuni za wazawa najua hawana uzoefu ila serekali itawawezesha wawe na uzoefu kikubwa ni ela kubakia hapa hapa ndani
 
Changamoto kubwa inayoikumba Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni kama zifuatazo
i) Uwepo wa walipa kodi wachache sababu watu wengi wanajihusisha na informal sekta kwa hiyo wengi hawalipi income tax na kodi nyingine
ii) kwa sababu kuna walipakodi wachache imepelekea nchi nyingi kuongeza kodi kwenye vyanzo vilevile na hii imepelekea kuumiza wananchi wengi
iii) kiwango cha kodi kinachoongezeka hakiendani na ongezeko kubwa la watu na mahitaji yao hivyo kuwepo kwa deficit kwenye budget
iv) kwa sababu wigo wa kodi ni mdogo imezilazimu nchi nyingi kukopa ili waweze ku-finance budget zao na kuleta changamoto nyingine ya madeni
 
Hongera sana kwa mawazo makubwa, haya maono yako huyu Rais tuliyenaye hayafikii hata nusu yake ...yeye anawaza mikopo tu tena hata namna ya kuitumia kwa faida HAJUI!.
Juzi Prof Assad katuambia hapa 60% ya viongozi serikalini hawana uwezo kichwani...nakubaliana naye 100%.
Sasa imagine waziri kama Nape kweli unategemea maarifa yapi kutoka kwake?!.
 
Back
Top Bottom