Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Penye nia pana njia, anza hata kugombea udiwani sasa au ubunge. Siasa sio barabara iliyonyooka ina vikwazo vingi, ni lazima ujue namna ya kuishi navyo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
 
Viwanda laki moja? Na umeme 500,000MW? sasa hivi tuna only hata 4000MW za ujedli hazifiki, lakini hongera kwa kufikiria vizuri
 
Labda TFF ya Tanzania
 
Na Mimi nitachanganya lugha (kwanini uniache nyuma)

Unawaza ki theoretical sana unaishi kwenye points za theories za uchumi za darasani ambazo kimsingi zilifit Kwa waliotengeneza hizo theories Kwa kipindi chao na mazingira yao Sasa ukiwaza Kwa mtindo huo unafeli hata kabla haujaanza

Huku mtaa kuko na tactics zake
Hivi unajua kwamba huku mtaani mfumo wa kupata viongozi sio Sawa na mlivyo soma huko shuleni kwenu
Si mliambiwa "anayepigiwa kula nyingi ndo mshindi"

Huku mtaa hakuendi hivyo huku mshindi ni yule ataeiba kura nyingi za mpinzani wake na atakae Fanya janja janja nyingi

Viongozi mara kadhaa wamenukiliwa wakisema "mshindi hatambuliwi Kwa kupigiwa kura nyingi ila anaye hesabu na anaye endesha mchakato wa uchaguzi"

Vipi mpaka hapo utatoboa ?

Karibu mtaa kuko na tactics ambazo hukuwahi kufundishwa huko darasani kwako
 
Uoga ndo unaokusumbua na ni tatizo la watanzania wengi ndo maana siwezi kukushangaa
 
Tanzania na Africa kwa ujumla watu wanaona ufahari kutumia brand za nchi nyingine mfano za ulaya na asia ya mashariki- swali ni lini Afrika na sisi tutakua tunajivunia brand zetu ni jambo ambalo linawezekana ila tumeaminishwa haiwezekani
 
ntahakikisha mfuko wa cement hauzidi sh 4000, nondo/chuma zitakua bei rahisi sababu chuma aina zote zitakua zinazalishwa hapa Tanzania, aluminium nazo zitakua bei ya chini sababu nazo zitakua zinazalishwa hapa nchini

Rangi, gypsum nazo zitakua bei chini sanaFaida ya vifaa vya ujenzi kuwa chini ni kama zifuatazo
  • Watu watajenga nyumba bora
  • Hivi vifaa vya ujenzi vitauzwa nje ya nchi sababu bei yake itakua ndogo kuliko za nchi jirani
 
Kiwanda cha petrochemical plant kitafanya uzalishaji wa bidhaa za plastic kuwa za bei nafuu
 
Una billions za kampeni???
 
Hakuna jipya katika hayo maono yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…