Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Taja mpoja ambalo halijafanika tukufahamishe zaidi.

Unaonesha upeo wako ni kwa yale mafupi unayoyaelewa tu, kuna mengi sana huyaelewi.
Kama Tanzania kungekua na viwanda unavyovisemea watu wasingekua bize kuagiza bidhaa nje ya nchi kama ilivyo sasa

Nenda kariakoo asilimia zaidi ya 90 bidhaa zinatoka nje ya nchi
 
Kama Tanzania kungekua na viwanda unavyovisemea watu wasingekua bize kuagiza bidhaa nje ya nchi kama ilivyo sasa

Nenda kariakoo asilimia zaidi ya 90 bidhaa zinatoka nje ya nchi
Wapi nimeongelea kiwanda?
. Hata unachokisoma hukielewi halafu unataka kuwa Rais?
 
Kwanza huwezi kuwa na rais anaitwa "Shughuru " hili jina liko botanical sana. Pili, sijui kwa nini unafikiri kutekeleza wazo hilo ni lazima uwe rais wa nchi, mbona usianze kama mfanyabiashara kama ilivyo nchi nyingine ambazo uwekezaji mkubwa unafanywa na sekta binafsi? Nyerere aliiacha hii nchi ikiwa na viwanda vingi, je kwa nini vilikufa na unaamini vipi kuwa, na hivi havitakufa?
 
Huo ni mtazamo wako na una-uhuru huo wa kufikiri
Zama za nyerere na hizi ni zama mbili tofauti
 

Baminhu bugawabugaawa, unge winhagwa ntwe na mapembe galeko
 
Wale wenzangu wa muda mrefu mnamkumbuka Deo Kisandu?
 
Faida za viwanda vya awali
a•-Itavutia waekezaji wa viwanda vikubwa na vidogo
b•-Itaongeza ajira rasmi na kuondoa sekta ambazo sio rasmi
c•-Itaongeza mapato ya serekali
d•-Mapato yapatikanayo kwenye vieanda vya awali na viwanda yatatumika kuboresha huduma za jamii na miundombinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…