Nina nyumba uswahilini inatengeneza Tsh. 40,000/- kwa mwezi, niendelee au napoteza muda?

Uza ununue bodaboda mbili. Boda moja itakuingizia Tsh.10000 kila siku. Acha kuitwa baba mwenye nyumba/baba mjengo/faza-house uanze kuitwa "zee la tuk-tuk"!Hapo vipi?
 

Nakubali kaka
 

Panakua lakini mtu wa kulipa elf 10 hana uwezo hata kukarabati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…