Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
2,880,0002019 ..mil 5 fixed deposit UTT kwa mwezi 60k × 12= 720k mara 4 yrs 2880,000faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2,880,0002019 ..mil 5 fixed deposit UTT kwa mwezi 60k × 12= 720k mara 4 yrs 2880,000faida
Mkuu, mali ndo huleta fedha, Biashara hazifanywi na pesa za mfukoni. Biashara zinafanywa na pesa za watu wengine kupitia mabank, kama unauhakika na biashara unaenda bank unakopa ila Vijana hawakopesheki sababu ya mawazo kama haya, hawataki kuwa na mali ila wanataka kuwa na fedha.Na wengi wanakurupuka sana.
Uwekezaji kwenye mijengo yahitaji akili.
Kuna watu wanapambana na mikopo wamalizie nyumba wapangishe.
Kama mtu una pesa nyingi na huna pa kuzipeleka zitunze kwenye majumba ila walala hoi wenzangu, usijaribu hii kama ni nyumba yako ya kuishi haina shida ila sio uteseke ujenge nyumba ya kupangisha.
Hesabu za uwekezaji wa nyumba gharama zake zinarudi kwa muda mrefu sana.
Ukijenga nyumba kwa milioni 90 leo hiyo nyumba kuzalisha pesa za kujenga nyumba ingine ya milion 90 itachukua si chini ya miaka 20 au 30. ( nazungumzia nyumba za kuishi kwa frame za biashara kama ipo eneo centre ni uwekezaji mzuri).
Mwanza eneo gani nahitaji chumbaNishawai waza hivo mkuu….Kipo mwanza kuku wa nyama huko soko ni gumu
Inaenda 3mil ,sas kijumba miaka 4 cdhan ata mil 1 kaiona2,880,000
Mkuu kama wewe ulitoa m5 yupo atakayetoa zaidi iwapo unaona hakuna thamani. Ni suala la muda.Panakua lakini mtu wa kulipa elf 10 hana uwezo hata kukarabati
Hayo mawazo mawili yote mazuri.Najua kuna mnaofanya hii biashara na inawalipa sana. Kama inakulipa basi ni ether;
1. Unapangisha fremu za maduka (kama location n nzuri au barabarani)
2. Wenye apartment katikati ya mji
3. Wenye biashara ya guest/lodge au hoteli
Kwa upande wangu, nina nyumba ndogo sana vyumba 2 na sebule na kimoja cha nje. Nilikinunua hiki kibanda mwaka 2019 kwa milioni 5.[emoji3064]
Kipindi hiko sina nyumba nilikurupuka kutaka kumiliki atlest kijumba mjini. Kina sehemu ndogo sana. Yaani huwezi kujenga wala kuendeleza kitu kingine kimebanana sana mahali ilipo imezungukwa na majirani ambao nao kila mmoja amejenga hadi mwisho wa uwanja wake.
Nikaanza kupangisha. Bei za huku kwasababu hamna umeme hamna maji basi bei ni elfu 10.
Sasa kwa hii elfu 10 nawaza hadi sasa 2023 sijafikisha hata laki 3 au 5 niliopokea kwene hiki kijumba.
Natamani kukiuza lakini hakiuziki. Naona hata uvivu kukikarabati maana nitapoteza hela tena.
Nawezaje kuongeza thaman ya hiki kijumba muda unaenda?
Mawazo yanayonijia;
1. Nikifanye guest (changamoto ni kadogo, kako katikati ya uswazi labda nilale mwenyewe).
2. Niweke hata mashine? Sielewi!
Toa ushauri jinsi wewe ulivyoongeza thamani ya nyumba yako, au unavoweza kupiga hela kupitia kijengo.
Umetanguliza kushindwa/kukata tamaa kabla haujajaribu.Benk hawakubali labda uniambie benk gan wanakubali ??
mfano NMB: Wanatoa mkopo wa biashara lakin biashara ndo kipaumbele kiwanja au nyumba ni mdhamana tu.
Yes hata barak ztaanza kuondokaHayo mawazo mawili yote mazuri.
Ila hilo la kwanza utakuwa unamsaidia Ibilisi kueneza zinaa
Mkuu, Fungua akaunt, jipe miezi 6 ya kupitisha fedha bank kidogo kidogo iingie na kutoka, kata leseni hata ya uuzaji malimao au angalia ni biashara gani unaweza isemea kuwa unafanya hata kama huifanyi kikamilifu. Hiyo 40 ya kodi ukipambana ukaongeza zako ukawa unaingiza inakaa siku moja mbili ukaitoa ni mzunguko mzuri tu wa kuanza kukopeshwa m1, 2 mpaka hata 5. Jiongeze boss.Benk hawakubali labda uniambie benk gan wanakubali ??
mfano NMB: Wanatoa mkopo wa biashara lakin biashara ndo kipaumbele kiwanja au nyumba ni mdhamana tu.
Sasa kasema nyumba ipo kati, imezungukwa na mijengo pande zote nne, na kila kajenga hajaacha hata uchochoro,Tengeneza penthouse halafu chini fungua duka lako la rejareja kaa mwenyewe
Mshahara ni utumwa
Kuna mjinga atakuja aseme ufugie nguruweNishawai waza hivo mkuu….Kipo mwanza kuku wa nyama huko soko ni gumu
Na umasikini juuHayo mawazo mawili yote mazuri.
Ila hilo la kwanza utakuwa unamsaidia Ibilisi kueneza zinaa
usimamizi tu, huwezi fanya kila jambo mwenyeweHuo ushonaji afanye mwenyewe au??
Haya mambo ya kuwaachia watu lawama,ni bora ata kupangisha
Uzoefu unatafutwa si lazima ushone wewecherehani kaka,,, sina uzoefu na hii biashara kabisa
Najua kuna mnaofanya hii biashara na inawalipa sana. Kama inakulipa basi ni ether;
1. Unapangisha fremu za maduka (kama location n nzuri au barabarani)
2. Wenye apartment katikati ya mji
3. Wenye biashara ya guest/lodge au hoteli
Kwa upande wangu, nina nyumba ndogo sana vyumba 2 na sebule na kimoja cha nje. Nilikinunua hiki kibanda mwaka 2019 kwa milioni 5.[emoji3064]
Kipindi hiko sina nyumba nilikurupuka kutaka kumiliki atlest kijumba mjini. Kina sehemu ndogo sana. Yaani huwezi kujenga wala kuendeleza kitu kingine kimebanana sana mahali ilipo imezungukwa na majirani ambao nao kila mmoja amejenga hadi mwisho wa uwanja wake.
Nikaanza kupangisha. Bei za huku kwasababu hamna umeme hamna maji basi bei ni elfu 10.
Sasa kwa hii elfu 10 nawaza hadi sasa 2023 sijafikisha hata laki 3 au 5 niliopokea kwene hiki kijumba.
Natamani kukiuza lakini hakiuziki. Naona hata uvivu kukikarabati maana nitapoteza hela tena.
Nawezaje kuongeza thaman ya hiki kijumba muda unaenda?
Mawazo yanayonijia;
1. Nikifanye guest (changamoto ni kadogo, kako katikati ya uswazi labda nilale mwenyewe).
2. Niweke hata mashine? Sielewi!
Toa ushauri jinsi wewe ulivyoongeza thamani ya nyumba yako, au unavoweza kupiga hela kupitia kijengo.ki