Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mimi ninayo Moja sema ya urithi Imezungukwa Kila pande na Kila jirani kajenga hadi mwisho wa eneo lake.
Bahati nzuri Ina kaeneo kidogo unaweza Jenga chumba na sebule hata kuchimba shimo jipya kubwa tu
Ila utoke hapo kwenge mtaani lazima upite kwenye eneo la mtu[emoji2].
Hakauziki, sababu wanunuaji Kila wakija wanadai barabara kutokea hapo na haipo. [emoji2]
Kukarabati uvivu, maana Kako uswazi hata vyumba Bei za kimasikini.
Nimekaacha kanaozeana miaka na miaka kutu kwenye bati, shoti zinapiga.
Wapangaji wanalipa 150k kwa mwezi. At
Hii ilinikuta mm niliingia kichwa kichwa nikajenga vyumba vya kupangisha kwa zaidi ya M 40 kuja kupiga hesabu ya kurudisha hiyo pesa nikaona kuwa itanichukua miaka 20 kuja kurudisha pesa yangu nikauza nikafanya mambo mengine.
Mkuu mi na mawazo tofauti kidogo.
Kama hiyo nyumba imezungukwa kila sehemu, basi vunja hiyo nyumba halafu patengeneze kuwe sehemu ya kupumzikia / zile playground za watoto.
Najua majirani hao hawakosi watoto, kwahiyo watapenda tu kuja kupoteza mda hapo na utakuwa unawachaji hela ndogo tu.
Hiyo ikiwezekana utaweka na viti vya wakubwa na unaweza kuuzwa vinywaji hata na hizi bites.
Watoto wakiwa wengi unaweza kuanzisha / kufungua / kuweka Playstations watoto watacheza tu.
Hapo cha msingi ni kucheza na majirani waliokuzunguka ili upate faida kila mwezi.
Nunua nyumba moja ya majirani wako, uinganishe na yako.natamani niuze
Ni kweli mzee hio Bei hailipi kabisa maana nyumba ni kubwa sema tu Imezungukwa na watu Kila kona.Yaan 150k kwamwezi bado unaona kajumba hakalipi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kila mtu na hadhi yake
40k vs 150k
Unaruhusiwa sema muda uanzie saa kumi jioni wakiwa wametoka shule na kwa weekend saa nne asubuiunajua hairuhusiwi kumchezesha game mtoto chini ya miaka 18??
Niuwekezaji wa kawaida kabisa kwa nyumba,,,coz mfano mtu ambae amejenga nyumba yake kwa mil 50 alafu akapangisha kwa mwezi laki 4 ,,na mtu aliejenga nyumba kwa mil 100 na akapangisha kwa laki 8 ,,,,na huyu jamaa aliejenga kwa mil 5 anapata elf 40 kwa mweziBad investment mpk milllion zako 5 zirudi utakuwa ushazeeka
Niuwekezaji wa kawaida kabisa kwa nyumba,,,coz mfano mtu ambae amejenga nyumba yake kwa mil 50 alafu akapangisha kwa mwezi laki 4 ,,na mtu aliejenga nyumba kwa mil 100 na akapangisha kwa laki 8 ,,,,na huyu jamaa aliejenga kwa mil 5 anapata elf 40 kwa mwezi
Kimahesabu wote hawa wanapata % sawa ya faida,,, kwahyo kwenye uwekezaji wa nyumba ni kitu cha kawaida kabisa kwa return hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri tulia.
Uhalisia uko hivi.
Uliwekeza kwenye biashara ambayo thamani yake ni Kam tsh 5mil, na inakupa faida tsh elfu 40 Kila mwezi baada ya kutoa gharama za uzalishani na Kila kitu. Unatakiwa na tsh 40 elfu.
Na baada ya kutoa gharama za uzalishani bado mtaji haujakata upo pale pale tsh 5mil.
Ila mtaji unongezeka thamani Kila siku.(nyumba inaongezeka thamani Kila siku).
Nakushauri usithubutu kuiuza hiyo ni asset Moja matata.
Inaongezeka thmani Kila siku.
Kama huaminijaribu kuiuza uone.
Unaruhusiwa sema muda uanzie saa kumi jioni wakiwa wametoka shule na kwa weekend saa nne asubui
Ni kweli mzee hio Bei hailipi kabisa maana nyumba ni kubwa sema tu Imezungukwa na watu Kila kona.
Yaani siku ukigombana na mwenye nyumba ya mbele akiziba tu njia hamtoki [emoji2]
Kuna nyumba zinalipa hadi jiwe kwa mwezi.
150k Hela ndogo sana.
Usibaki kinyonge.
Nunua nyumba moja ya majirani wako, uinganishe na yako.
UTT ??????2019 ..mil 5 fixed deposit UTT kwa mwezi 60k × 12= 720k mara 4 yrs 2880,000faida
Hahhaa mkuu imebidi nicheke tu.Nikaanza kupangisha. Bei za huku kwasababu hamna umeme hamna maji basi bei ni elfu 10.
Sasa kwa hii elfu 10 nawaza hadi sasa 2023 sijafikisha hata laki 3 au 5 niliopokea kwene hiki kijumba.