Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

Wababa13

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
105
Reaction score
70
Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
 
Hapohapo kwenye Diploma/ FTC ndio penyewe jaza hapo qualification yako.

Usicheze na huo mfumo hasa kwenye kuweka vyeti, once ukikosea utapata tabu sana kufuta qualification
 
Asante kwa ushauri.
 
Ndio kaka, kila mwenye Ordinary Diploma huyo ni Diploma/FTC
 
Hapohapo kwenye Diploma/ FTC ndio penyewe jaza hapo qualification yako.

Usicheze na huo mfumo hasa kwenye kuweka vyeti, once ukikosea utapata tabu sana kufuta qualification
Hahaha huu mfumo autak tabu aisee auko wide
 
Back
Top Bottom