Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
Wakuu mjue kile knachowakusanya watu kila sku tena makundi yenye elimu, kpato, uelewa tofauti na wakakaa wakaanza kuzungumza tena bila kiongoz yaani ni wao tu wanajiongoza mjue hapo kuna fursa ya kupata chochote.
Sasa kuna ile tabia ya watu wengi kila mkoa ukienda utaikuta ile asubuhi unakuta watu wemekaa kwny vijiwe au sehemu yoyote wanabishana na kuchambua mpira nadhan hli kila mtu analijua kbs.
Sasa nimeandka proposal ambayo ina jina la WACHAMBUZI MITAANI ikiwa na lengo la kuwakusanya hao watu na kuwaweka ukumbini sasa hayo mabshano na uchambuz wao uwe ki professional na watu wapge point tu si propaganda mpk mshindi apatikane, yan naweka mada labda ya kati ya wachezaji wa yanga na simba wapi bora?
Hapo watu wabshane na wachambue kwa hoja mpk tupate kina nani wameshnda. Yan kile ktendo cha kukaa vijiwen wanabshana na kuchambua mi nimektengenezea mazngira ya muda huo kuja kwny ukumbi linakuwa kama tamasha.
Kwenye proposal yng taomba udhamini wa watu wa maji wadhamin na wajtangaze kwaiyo maji free. JE MNAONAJE?