Nina rafiki wa ajabu sijapata kuona!

Nina rafiki wa ajabu sijapata kuona!

Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..

ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo akanitafuta tukawa tunapiga stori akiniambia alivyomgalagaza mtoto wa watu!.
huku akiwa na furaha akaniambia "wakati hatujaanza ule mchezo nilikunywa vile vidonge,hivyo sina wasiwasi kabisa!!"

kijasho chembamba kilinitoka,nikabaki nimemtazama kwa kuduwaa! nikawa najifikiria ndani yangu kama huyu bata maji anazo au ni moja ongeza na mbili halafu zidisha na sifuri!.
alivyoona namkodolea macho akaongeza..
"kaka yule kama alijiona yeye mjanja mimi ndio mtoto wa mjini!!"

Nilitamani nimlambe banzi lkn nikajiona nitaungana nae kwenye ujinga wake!. nilichofanya nikuondoka nakumuacha akiwa njia panda!.
Chai
 
Wewe msenge baridi koma, naona unataka nipewe ban msonyoooo
Acha michezo yako michafu HIO starehe ndio Ila SIO kupenda kufirwafirwa, muone mwanasaikolojia akusaidie ushauri wa kuondoka kwenye HIO hali
 
haya uzi wangu ushavamiwa na watu wa nnya!..😅
 
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..

ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo akanitafuta tukawa tunapiga stori akiniambia alivyomgalagaza mtoto wa watu!.
huku akiwa na furaha akaniambia "wakati hatujaanza ule mchezo nilikunywa vile vidonge,hivyo sina wasiwasi kabisa!!"

kijasho chembamba kilinitoka,nikabaki nimemtazama kwa kuduwaa! nikawa najifikiria ndani yangu kama huyu bata maji anazo au ni moja ongeza na mbili halafu zidisha na sifuri!.
alivyoona namkodolea macho akaongeza..
"kaka yule kama alijiona yeye mjanja mimi ndio mtoto wa mjini!!"

Nilitamani nimlambe banzi lkn nikajiona nitaungana nae kwenye ujinga wake!. nilichofanya nikuondoka nakumuacha akiwa njia panda!.
HahahahaaHa dah ako na logic ambayo haina logic
 
Mpumbavu tu huyo,yaani mtu anakosa elfu 15-30 kukodi chumba guest wanaazimana gheto wachumba wote hao.
Halafu anarudi kulala kwenye mashuka hayo hayo, kisha Kesho deal zote zinabuma anaanza kutafuta mchawi! Aiseeee vitanda na vyumba vyetu ni madhabahu takatifu at least kwa kiwango cha mtu binafsi, sehemu unayoitumia kuwaza na kujenga future yako inapaswa kuheshimiwa.
 
Wewe Ni mjinga kweli kweli. Unamuazima MTU gheto anakuja kufanyia ujinga kwenye kitanda chako, kwenye shuka zako. Je Kama walipiga katerero, inamaana shuka utafua wewe, je Kama alikula 0713, na kujifutia taulo lako. Yaani wewe Ni pusi.
 
Hivi haya mambo ya kuazima Vyumba bado yapo!!!!
Yani mimi kama kuna kitu nilikikataa mapema toka naanza kuishi peke yangu ni kwangu kuwa gheto. Tena nilianza na sebule jiko master kimesheheni kila kitu vijana wakaanza niwe nawaachia geto. Jibu langu lilikiwa hata mimi michepuko tu siiletag kwangu kasoro main chick hivyo nyumba yangu haiwezi kuwa guest
 
Halafu anarudi kulala kwenye mashuka hayo hayo, kisha Kesho deal zote zinabuma anaanza kutafuta mchawi! Aiseeee vitanda na vyumba vyetu ni madhabahu takatifu at least kwa kiwango cha mtu binafsi, sehemu unayoitumia kuwaza na kujenga future yako inapaswa kuheshimiwa.
Ni kweli kabisa kuna jamaa maarufu tu hapo bongo lakini enzi hizo alikua mchovu tu.
Nilikua nampa pamba namuachia,
Hela kiasi namtoa
Muuza sura fulani hivi.
Baadae ikawa bro naomba gheto nisuuze rungu.
Dah ndio pale urafiki ukafa.
Nilichukua room hotel nikampa akalale huko.
Alikua student enzi hizo form three
 
Yes, watu waje kulala kwa room yako na majasho na mba na STI wakuachie mmmmmgh Hapana
 
Yani mimi kama kuna kitu nilikikataa mapema toka naanza kuishi peke yangu ni kwangu kuwa gheto. Tena nilianza na sebule jiko master kimesheheni kila kitu vijana wakaanza niwe nawaachia geto. Jibu langu lilikiwa hata mimi michepuko tu siiletag kwangu kasoro main chick hivyo nyumba yangu haiwezi kuwa guest
Kuna Mwanangu tuligombana kisa hivyo, ana Demu wake alitakaga Chumba changu... Nikamwambia SIO GEST ILE...
 
Wewe na huyo mwenzio mna umri wa miaka mingapi jumla?
 
New Version of Kimasikharaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom