Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

Wananchi wote ,tunamuunga mkono Mh.Rais.Umeelezea vizuri kabisa.
 
Chawa kazini
 
Unajifunza kuwa chawa, jitahidi akili iwe inachaji sasa, ili wasomi wakisoma mabandiko yako wapate kushawishika. Next time usipoteze muda wako kuandika ujinga kama huu.
 
mtoa post jitafakari umepingwa karibia na wote waiochangia post yako
hivyo basi tambua ulichoandika hakina uhalisia kwa wananchi Bi ushuni anachukiwa na watu wengi .
nyie machawa wake mnakazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…