Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
yaani Subaru ndo inakufikirisha hivi? ungekuwa a Gari la Ukweli je? hiyo SUbaru kuna jamaa huwa analaza nje tu na sometime anasafiri hata week 3 anarudi anaikuta ipo pale pale....... si gari za kuogope.ndo gari yako ya kwanza nini? na pia hujawahi panda ndege
Tajiri wapi mvuta kushabu huyo😂Haya haya kumekucha matajiri wa JF washaamka[emoji23][emoji23]
Hili ndo best answer i believeKuna utaratibu wa kupaki nadhani kwa siku ni 15k, na gari lako litakuwa salama
Umechoshwaje?Park gari yako nyumbani kwako, chukua bolt nenda airport, usituchoshe, au unalalaga kwenye gari?
Ujinga unachoshaUmechoshwaje?
Hapana.....Long term parking ipo Tb3, Tsh 15000 kwa siku.Kupaki JKNIA hata mwaka ni wewe na pesa yako tu.
Siku tatu ni masaa 72 x 2000 kwa saa andaa 144000.
Pumzika sasa!Ujinga unachosha
Utaratibu ni simple tu unalipia, Funguo unaziacha kwangu siku unarudi utazikuta. Safe journey in advance.Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Thanks 🙏🏿Long Term Car Parking
The long term car parking system is now available at Julius Nyerere International Airport Terminal III, please contact information desk for more details.
CONTACT US THROUGH: +255 22 2842402/3
All the best.
Unataka kutamba nalo mitaani? Mafuta utaweka? Efu 10 ni lita mbili na pointOyaa siku tatu tu unataka ukapark gari air port, lete hapa home ning'olee pisi kwa siku ambazo hutokuwepo
Jf ukose bando lako tu mengine yote yako humu😂yaani Subaru ndo inakufikirisha hivi? ungekuwa a Gari la Ukweli je? hiyo SUbaru kuna jamaa huwa analaza nje tu na sometime anasafiri hata week 3 anarudi anaikuta ipo pale pale....... si gari za kuogope.ndo gari yako ya kwanza nini? na pia hujawahi panda ndege
inategemea na aina ya gari kama ni corolla ,IST au kombi nk hawaruhusu kupaki pale, wewe una aina gani ya gari?Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Volkswagen Beetleinategemea na aina ya gari kama ni corolla ,IST au kombi nk hawaruhusu kupaki pale, wewe una aina gani ya gari?
SinaKwako hauna parking
Ova
Ka vp leta kwanguHabari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Hakikisha masega umeondoka nayoHabari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.