Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, ningependa kupark gari JNIA ili nikirudi niichukue

Vipi siku ambazo hauko safari huwa unalala kwenye hilo gari? Najua kuna watu mmeanza kununua gari kabla ya kujenga nyumba.
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
 
Kupark lisaa ni buku 2 piga mara siku 3 unaweza park hata funguo ukakabidh kabisa utaikuta gari swalama ila tozo mlima
 
1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.

Imeisha hiyooooo....
Afanye yote hayo kwa safari ya siku 3?
 
1. Nenda Bank.
2. Chukua mkopo, weka dhamana ya hilo gari.
3. Fedha ya mkopo usiitumie, tena fungulia account kwenye bank hiyohiyo.
4. Safiri.
5. Baada ya kurudi, nenda bank, rudisha mkopo bila kuutumia.
6. Watakurudishia gari yako ikiwa salama salimini.

Imeisha hiyooooo....

Hizo process zote hapo bado riba yao si bora aache gari home atumie bolt tu.
 
Ni affordable but unecessary
Ni kweli..si achukue taxi kutoka kwake haiwezi kuzidi elfu 30 kwenda na siku ya kurudi..au ndio wale wa Kanda maalumu ya kupenda sifa ametaka tujue anapanda ndege na anamiliki gari.
 
Ila wabongo bhana😂miluzi kibao! Najua kuna huduma ya long term parking na mabango yapo kabisa unaelekezwa kwa kupark, so mimi nilikuwa nataka huo utaratibu maana haiwezekani wacharge 2000tzs/hour kama normal parking afu waweke mabango ya long term parking ili kutofautisha. Hii ya 15k per day ina sound reasonable. Thanks wadau wote kwa ushauri.
 
Ila wabongo bhana[emoji23]miluzi kibao! Najua kuna huduma ya long term parking na mabango yapo kabisa unaelekezwa kwa kupark, so mimi nilikuwa nataka huo utaratibu maana haiwezekani wacharge 2000tzs/hour kama normal parking afu waweke mabango ya long term parking ili kutofautisha. Hii ya 15k per day ina sound reasonable. Thanks wadau wote kwa ushauri.

Sasa kama ulikuwa unajua humu ulikuja kuuliza nini? Au kutwambia unamiliki kibebi woka[emoji23]
 
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Nakushauri safiri nalo kama mzigo binafsi.
 
Ni kweli..si achukue taxi kutoka kwake haiwezi kuzidi elfu 30 kwenda na siku ya kurudi..au ndio wale wa Kanda maalumu ya kupenda sifa ametaka tujue anapanda ndege na anamiliki gari.
We we! Anakwenda kupanda ndege haendi Mbezi kwa Magufuli, sasa ataanzaje kushuka kwenye teksi kisha aingie kwenye ndege, huyu anataka ndege inaporuka amuonyeshe jirani yake kwenye dirisha kuwa "that's my Tesla parked".
 
Kwann usitafute mtu mstaarabu na mwenye uwezo ukamkodishia kwa hizo siku 3
 
Kama huna hela ya kupaki nenda kwenye Taasisi kubwa kama Kanisa katoliki likabidhi utalikuta salama, tena waweza waachia na funguo kama watapenda kutumia litakaa bure kwa Muda uutakao hata miezi na usalama zaidi
 
Yaani Subaru ndo inakufikirisha hivi? Ungekuwa a Gari la Ukweli je? Hiyo SUbaru kuna jamaa huwa analaza nje tu na sometime anasafiri hata week 3 anarudi anaikuta ipo pale pale....... si gari za kuogope.ndo gari yako ya kwanza nini? na pia hujawahi panda ndege
 
Back
Top Bottom