Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
weka maisha yako sawa hakuna kitu kinasumbua labda ww tu unasumbuaHabari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana
Asante
mkuu kama ni mtu muelewa mbona utaenjoy kusafiri nae ila kama ni wale wa kujidai wajuaji asee usiombe..... kuna jamaa nilimpa lift toka same mpka nafika mombo nimeshamchoka sasa najiuliz ningechukua hela yake ingekuaje maana maelekezo kibao ilibidi nimuache sehemu ya kula japo sikuingia kulaSafari ya kuomba lift ina usumbufu sana
Shida inaanzia hapo, utamjua vipi kama mtu poa au msumbufu?mkuu kama ni mtu muelewa mbona utaenjoy kusafiri nae ila kama ni wale wa kujidai wajuaji asee usiombe..... kuna jamaa nilimpa lift toka same mpka nafika mombo nimeshamchoka sasa najiuliz ningechukua hela yake ingekuaje maana maelekezo kibao ilibidi nimuache sehemu ya kula japo sikuingia kula
pole sana asee najaribu kuvaa viatu vyako na makwazo uliopitia dah mzee naelewa nn kilikukuta mda mwingine ni huruma tu.. unajikita umempa mtu lift alafu tabu ndio inaanza kuna mwamba aliniambia gari yako ya kizamani hahahah nilicheka tu mda huo anaongelea gari la uncle mara gari la jamaa yangu flani asee maisha hayaShida inaanzia hapo, utamjua vipi kama mtu poa au msumbufu?
Niliwahi kuwapa lift watu fulani watatu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine asalaaaaleeeee!....nilijuta! Ni usumbufu! usumbufu! usumbufu! , nikakoma sibebi mtu nisiyemjua baaas!
😆pole sana asee najaribu kuvaa viatu vyako na makwazo uliopitia dah mzee naelewa nn kilikukuta mda mwingine ni huruma tu.. unajikita umempa mtu lift alafu tabu ndio inaanza kuna mwamba aliniambia gari yako ya kizamani hahahah nilicheka tu mda huo anaongelea gari la uncle mara gari la jamaa yangu flani asee maisha haya