Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

Safari ya kuomba lift ina usumbufu sana
mkuu kama ni mtu muelewa mbona utaenjoy kusafiri nae ila kama ni wale wa kujidai wajuaji asee usiombe..... kuna jamaa nilimpa lift toka same mpka nafika mombo nimeshamchoka sasa najiuliz ningechukua hela yake ingekuaje maana maelekezo kibao ilibidi nimuache sehemu ya kula japo sikuingia kula
 
Shida inaanzia hapo, utamjua vipi kama mtu poa au msumbufu?

Niliwahi kuwapa lift watu fulani watatu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine asalaaaaleeeee!....nilijuta! Ni usumbufu! usumbufu! usumbufu! , nikakoma sibebi mtu nisiyemjua baaas!
 
pole sana asee najaribu kuvaa viatu vyako na makwazo uliopitia dah mzee naelewa nn kilikukuta mda mwingine ni huruma tu.. unajikita umempa mtu lift alafu tabu ndio inaanza kuna mwamba aliniambia gari yako ya kizamani hahahah nilicheka tu mda huo anaongelea gari la uncle mara gari la jamaa yangu flani asee maisha haya
 
😆
 
Kipindi hiki si cha kuomba omba lift....uwe na uhakika na dereva anaekubeba na ubora wa chombo chake.

Juzi kuna IT imefinywa apo singida...
Tafuta ata kapikpki cc 200 ukomae nayo Road
 
Back
Top Bottom