Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

sangaima

Member
Joined
May 16, 2023
Posts
77
Reaction score
104
Habari wanajamii Forum.

Nimatumain yangu mpo poa na miangaiko ya kila siku. Baada ya salamu niende direct to the point. ( Tafadhali nivumilieni uzi ni mrefu kiasi)

Kama title ya uzi wangu invyojieleza. Mimi ni kijana na zaidi ya yote ni mtafutaji, baada ya kuangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira nakushindwa nikaona nijiajiri katika sector ya huduma upande wa huduma ya kuwezesha na kufascilitate mchakato wa kutafuta ajira, na masomo ( high school and University) nje ya nchi nimechagua hii niche kutokana na experience yangu na connection nilizojitengenezea baada ya kukaa nje ya nchini kwa miaka sita.

Nimefanikiwa ku sajili kampuni na nina all legal documents kimbembe kipo katika ofisi sina uwezo wa kifdha wa ku mudu kupata offisi na amenities zake, jambo ambalo limekuwa kikwazo kikubwa. Niliopt option ya ku rent shared office kwakuwa ni bei ndogo nikafanya research nikapata best option pale seedspace Makumbusho, nikakopa 25k toka kwa jirani yangu nikajumrisha na 25k niliyokuwa nayo nikapata Kodi ya 2 days nikaarange meeting na client niliokuwa nikiwasiliana nao waliokuwa wameonesha utayar wa kuanza kufika ofisini na kuanza mchakato (ikiwa ni pamoja na kulipa gharama za awali za mchakato). Nikalipa kodi. The first day nikajihimu nakufika ofisin nikiwa na laptop yangu niliyomaliziaga nayo chuo na fomu chache na documents zenginezo relevant.

Kitu nilicho note nikuwa enthusiasm ( muamko) wa wateja kwenye simu na hata nilipokuwa nawapokea nje ya ofisi ulikuwa tofauti kabisa na baada ya kuingia ofisini. Kwa wenye uelewa na shared offices watakuwa wanajua kuwa mnakuwa kwenye hall watu tofauti mnaofanya vitu tofauti kinacho wa separate niviti, meza wateja na mazungumzo tuu ila pia hamruhusiwi kufanya branding au hata kuninginiza cheti cha brela hivyo nili note badiriko la energy kwa client wangu hasa pale ambapo mmoja ya waliokuwa tunashare ofisi alipokuwa busy akizungumzia kwa sauti juu ya biashara ya samaki kamba kochi kwenye simu mzazi ( client) wangu alitoka kwenye reli kabisa I could tell kabisa moyoni mwake alikuwa akijisemea huyu kijana anataka kunipiga pesa zangu.

Mwishowe aliondoka nakuahidi kuwa ngoja akafikirie. Jumla ya wateja wanne wote waliofika ofisin siku hiyo wote waliondoka na energy hiyo. Sikuvunjika moyo nikapiga moyo konde on nikaarrange meeting na client watatu, for the second day. wote walionesha same energy except wakati huu client wa pili alikuwa mama na binti ake aliefika kwa lengo la kutaka mwane aende kusoma Germany aliniambia kwa busara sana angali nilipokuwa nikiwasindikiza na kuagana nao alisema.

" Kijana you seems like a fine young man, na umetengeneza brand presentable ya kampuni yako on social media na upo kwenye niche nzuri ya kibisahara, Lakin katika offisi hizi ni ngumu mzazi kuji commit kufanya payment ya mamilion" alitoa cheque book kwenye bag nakunionesha. Akaendelea kusema nilikuja huku nimejianda kabisa kulipa cost tuliyozungumza katika simu ( 1.6M)

Lakin hiii ofisi yako inanipa feeling yakuwa you are not here to stay yani mdaa wowote unaondoka akani sihi nipate offisi hata kama ni ndogo ni weke credibility documents wazi nifanye branding ( kidogo inaonesha you are here to saty ) kisha nimtafute kama atakuwa bado mwanae hajaondoka basi atakuwa mteja wangu wa kwanza. At first sikuzingatia maneno yake, I mean you can't blame me nawazaje juu ya offisi nyingine huku hapo nilipo nadaiwa 25k niliyoazima ya ofisi hii. Ni had alipokuja mteja wa mwisho wa siku hiyo na kuondoka kama wateja wa siku iliyotangulia ndipo nilipowaza nakuona kuna ukwel na busara nyingi katika alichonieleza huyo mamaa.

Hivyo basi Ndugu zangu kwa mdau yeyote humu, maybe una offisi kubwa than your needs, maybe una ofisi ila ume seize operation activities au hata maybe umeguswa tuu na kuona kuwa hii ni fursa kwako tafadhali naomba kwa dhati na nakaribisha ushurikiano ama ubia nawe nipo tayr kukaa chini kwa mazungumzo na makubaliano yenye maslahi kwetu sote na hata ya kilindwa na mwansheria ilimradi niweze kutumia exposure, experience, connection na pia validity ya kampuni niliyoisajili na yenye socialefia presence nzuri kwenye kututengenezea fedha sote mimi na wew Asante na karibu kwa mawasiliano : 0764432001
 
Hongera sana kwa udhubutu... Ningekushauri ikitokea kama utapata shida ya ofisi mtafute huyu mteja wako aloyekuja na 1.6 kisha umueleze changamoto yako

Na hivyo hivyo itakuwa vizuri pia kuweka hapa nini unafanya huwezi jua pengine waweza pata leads kutokea JF
 
Ni kweli offisi zipo nyingi Engineer Lakin kwa option ambayo maybe naweza afford ni shared offices ambazo kwa nature ya biashara nayofanya zimekuwa ni red flag.
Nafikiri hajakuelewa unachokiuza kuwa huwezi rent jst office, accept iko eneo maridhawa kulingana na biashara yako
 
Hongera sana kwa udhubutu... Ningekushauri ikitokea kama utapata shida ya ofisi mtafute huyu mteja wako aloyekuja na 1.6 kisha umueleze changamoto yako

Na hivyo hivyo itakuwa vizuri pia kuweka hapa nini unafanya huwezi jua pengine waweza pata leads kutokea JF
Asante Kiongozi. Shughuli nayo fanya ni agency recruitment for job seekers abroad na admission & Scholarship abroad agency facilitator sijui nimeeleweka mkuu ?
 
Umeeleweka recruitment ya job seeker ume base wapi au nchi gani.

admission & Scholarship abroad agency facilitator ( naomba nieleweshe hapa pengine sijaelew unaanisha nini specific). Asante
 
Kwa job nina access na Poland, Lithuania, Denmark, Canada na UAE

Upande wa admission na Scholarship yani kama unahitaji kusoma nje ila pia kama untafuta Scholarship ( institutional /non-government scholarship) University loan kwa Canada na Financial Aid kwa USA naweza handle na ku facilitate mchakato nana uelewa mkubwa wa admission process na system zao pia nina baadhi ya contact na connection. Natumain by now umeelewa vizur kabisa kiongozi.
 
Posta Kuna Majengo mengi hayana wapangaji
Jitose

Kopa nyang'anya iba
Upate Kodi ya 3 months
Dunia Haina huruma kwa wapambanaji
Madam Jane upo sahihi yani ninafanyaga survey na huwa najitosa sana hasa posta yani hata jana nilienda nilikutana na kihoja dada angu handler wa jengo ni kampuni flani sitohitaja ila baada ya mazungumzo nao walikubali rent ya mwezi mmoja ila kimbembe nikuwa wanahitaji nilipe security deposit sio one month but ya 3 months nikasema duu ndo utaratibu gan huu kwahyo miez 4 hapo. Lakin pia dada angu offisi is one thing bado meza na viti ( furniture) hata kama ni vya cello Lakin still namaanisha kuna another cost on top of cost. Sinauwezo wa kunyanganya na kuiba Dada angu pamoja nakuwa ni kwel Dunia haina Huruma kwa watafutaji, uwezo wangu ni huu wa kutafuta wadau na walengwa kwenye platform kama hii ya JF kuingia kwenye makubaliano ya kutunufaisha sote ama nje ya hapo kama pangekuwa na watoa mikopo kwa bisashara zinazojiestablish nazani ningekuwa wa kwanza kwenye folen maana ningelala nje ya ofisi yao.ila still Asante kwa comment yako nzuri yakutia moyo.
 
Back
Top Bottom