I mean no malice but, ungeweka huu uzi seriously kidogo as I know huku kuna watu ambao wana uwezo wa kuwekeza au hata kukukopa pesa ikiwa tu wataona kuwa pesa yao itarudi au watapata faida. Kwa jinsi ulivyoweka huu uzi umeonesha tu kutia huruma, na kiukweli huruma haitakufanya usaidiwe. Kitakachokufanya usaidiwe ni kuwaonyesha watu kwamba wakiweka pesa itarudi( watapata faida) sio kulia lia hivyo no body cares.
What you should have done?
Ilitakiwa uonyeshe kiasi cha pesa kinachohitajika, kiasi ulicho nacho, na kiasi unachohitaji kutoka kwa mwekezaji ( partner) au mkopeshaji. Then onyesha ni kwa namna gani unaamini pesa yake italipwa ikiwa atakukopesha au ikiwa atainvest.
Kama ni mkopo sema how much interest you are willing to pay kwa muda fulani. Tell why should s/he trust your business.
Be willing to share your business plan, leseni na vitu vingine akivihitaji ( in private) make it as fundraising sio kuomba msaada. Tell them we both benefit if it works.
Jaribu Wasiliana na
RMK Freelancers Agency may be he can help you to do it professionally.