Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Wacheki hawa jamaa,co prosperity fund halafu utapata investor
 
Habari wanajamii Forum.

Nimatumain yangu mpo poa na miangaiko ya kila siku. Baada ya salamu niende direct to the point. ( Tafadhali nivumilieni uzi ni mrefu kiasi)

Kama title ya uzi wangu invyojieleza. Mimi ni kijana na zaidi ya yote ni mtafutaji, baada ya kuangaika kwa muda mrefu kutafuta ajira nakushindwa nikaona nijiajiri katika sector ya huduma upande wa huduma ya kuwezesha na kufascilitate mchakato wa kutafuta ajira, na masomo ( high school and University) nje ya nchi nimechagua hii niche kutokana na experience yangu na connection nilizojitengenezea baada ya kukaa nje ya nchini kwa miaka sita.

Nimefanikiwa ku sajili kampuni na nina all legal documents kimbembe kipo katika ofisi sina uwezo wa kifdha wa ku mudu kupata offisi na amenities zake, jambo ambalo limekuwa kikwazo kikubwa. Niliopt option ya ku rent shared office kwakuwa ni bei ndogo nikafanya research nikapata best option pale seedspace Makumbusho, nikakopa 25k toka kwa jirani yangu nikajumrisha na 25k niliyokuwa nayo nikapata Kodi ya 2 days nikaarange meeting na client niliokuwa nikiwasiliana nao waliokuwa wameonesha utayar wa kuanza kufika ofisini na kuanza mchakato (ikiwa ni pamoja na kulipa gharama za awali za mchakato). Nikalipa kodi. The first day nikajihimu nakufika ofisin nikiwa na laptop yangu niliyomaliziaga nayo chuo na fomu chache na documents zenginezo relevant.

Kitu nilicho note nikuwa enthusiasm ( muamko) wa wateja kwenye simu na hata nilipokuwa nawapokea nje ya ofisi ulikuwa tofauti kabisa na baada ya kuingia ofisini. Kwa wenye uelewa na shared offices watakuwa wanajua kuwa mnakuwa kwenye hall watu tofauti mnaofanya vitu tofauti kinacho wa separate niviti, meza wateja na mazungumzo tuu ila pia hamruhusiwi kufanya branding au hata kuninginiza cheti cha brela hivyo nili note badiriko la energy kwa client wangu hasa pale ambapo mmoja ya waliokuwa tunashare ofisi alipokuwa busy akizungumzia kwa sauti juu ya biashara ya samaki kamba kochi kwenye simu mzazi ( client) wangu alitoka kwenye reli kabisa I could tell kabisa moyoni mwake alikuwa akijisemea huyu kijana anataka kunipiga pesa zangu.

Mwishowe aliondoka nakuahidi kuwa ngoja akafikirie. Jumla ya wateja wanne wote waliofika ofisin siku hiyo wote waliondoka na energy hiyo. Sikuvunjika moyo nikapiga moyo konde on nikaarrange meeting na client watatu, for the second day. wote walionesha same energy except wakati huu client wa pili alikuwa mama na binti ake aliefika kwa lengo la kutaka mwane aende kusoma Germany aliniambia kwa busara sana angali nilipokuwa nikiwasindikiza na kuagana nao alisema.

" Kijana you seems like a fine young man, na umetengeneza brand presentable ya kampuni yako on social media na upo kwenye niche nzuri ya kibisahara, Lakin katika offisi hizi ni ngumu mzazi kuji commit kufanya payment ya mamilion" alitoa cheque book kwenye bag nakunionesha. Akaendelea kusema nilikuja huku nimejianda kabisa kulipa cost tuliyozungumza katika simu ( 1.6M)

Lakin hiii ofisi yako inanipa feeling yakuwa you are not here to stay yani mdaa wowote unaondoka akani sihi nipate offisi hata kama ni ndogo ni weke credibility documents wazi nifanye branding ( kidogo inaonesha you are here to saty ) kisha nimtafute kama atakuwa bado mwanae hajaondoka basi atakuwa mteja wangu wa kwanza. At first sikuzingatia maneno yake, I mean you can't blame me nawazaje juu ya offisi nyingine huku hapo nilipo nadaiwa 25k niliyoazima ya ofisi hii. Ni had alipokuja mteja wa mwisho wa siku hiyo na kuondoka kama wateja wa siku iliyotangulia ndipo nilipowaza nakuona kuna ukwel na busara nyingi katika alichonieleza huyo mamaa.

Hivyo basi Ndugu zangu kwa mdau yeyote humu, maybe una offisi kubwa than your needs, maybe una ofisi ila ume seize operation activities au hata maybe umeguswa tuu na kuona kuwa hii ni fursa kwako tafadhali naomba kwa dhati na nakaribisha ushurikiano ama ubia nawe nipo tayr kukaa chini kwa mazungumzo na makubaliano yenye maslahi kwetu sote na hata ya kilindwa na mwansheria ilimradi niweze kutumia exposure, experience, connection na pia validity ya kampuni niliyoisajili na yenye socialefia presence nzuri kwenye kututengenezea fedha sote mimi na wew Asante na karibu kwa mawasiliano : 0764432001
Kijana kwanza hongera kqa kijitambua na kufanya. Natumai ulifanikiwa. Mtaji ni changamoto ya vijana wengi, ila huwa tunaanza tu kiugumu kama ulivyoanza. Scenerio yako ni ya vijana wengi sana. Tunafanya kwa ukubwa social media ila wateja wakifika ofisi kwetu unawaona kabisa kuna kitu kime change. Kuna muda hadi tunakejeliwa, ila tunajua tunachotaka, tunajua tunachofanya, tunajua kinachotikwamisha na tunapamba kufanikisha.

You have that courage, utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom